Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

attachment.php

joseph makandege ambaye ni katibu na mshauri wa kisheria wa kampuni ya iptl/pap akizungumza na wanahabari kuhusu amri ya mahakama kuu.

attachment.php

mmiliki wa kampuni ya iptl/pap harbinder singh sethi akizungumza na wanahabari jana mara baada ya kukabidhi mchango wa milioni 20 kwa taswa jijini dsm.

habari kamili

source: gazeti la majira tarehe 02,october,2014
picha:tanzania daima

kweli iptl yang'aa africa mashariki
 
Mahakama yaamuru IPTL isibughudhiwe

Na grace Ndosa

MAHAKAMA kuu ya Tanzania imeiamuru benki ya Standard charter ya hong cong na shirika la usambazaji la umeme Tanznia (TANESCO) kuacha kuingilia utulivu , umiliki, usimamizi, na utawala wa mitambo ya ufuaji wa umeme ya Harbinder Singh Seth iliyopo Tegeta na kusubiri uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi
Hukumu hiyo ilitolewa jana Dar es saalam na mahakama kuu kutoa zuio la kudumu kwa benk ya Standard Charter kuhusu umiliki wa IPTL na kwamba zuio hilo na PAP ndio mmiliki halali wa kampuni ya IPTL na sio watu wengine wowote.
Akizungumza na waaandishi wa habari mwenyekiti mtendajii wa IPTL/PAP, SETH alisema kuwa hukumu hiyo inaeleza kuwa IPTL iendelee kuzalisha umeme kama ilivyolkuiwa inafanya na kuwauzia TANESCO huku mmiliki halali akiwa ni PAP.
“Tunapenda kuwakumbusha watanzania kwamba IPTL/PAP imejizatiti kikamilifu kuhakikisha inawahudumia ipasavyo na kwamba inawataka wapuuze watu wanaotoa maneno ya uongo ili kuvuruga utendaji na utoaji wa huduma”, alisema Seth.
Aliongeza kuwa kumekuwepo na maneno mengiyanayo tokana na kutokuwa na uelewa mzuri kwa wanayo yasambaza kutokana na chuki za kibiashara na mengine yanayotokana na kutafuta sifa za kisiasa.

Alisema taarifa ambazo zimekuwa zikitolewa kuhusu IPTL kuwa na mgogoro na TANESCO mahakamani sio kweli na wala hawanashida yoyote mahali popote duniani.

Kampuni ya IPTL na PAP zilifungua kesi kwa ku huji uhalali wa maamuzi ya ICSD dhidi ya SCB-HK na Martha Lenju (anayedaiwa kuwa msimamizi wa mali zake. ) ijulikanayo kama “Decision on jurisdiction and liability” iliyotolewa katika kesi ya ICSD namba ARB/10/20.Katika hukumu hiyo yenye kurasa 16 iliyoandikwa na jaji Dtk Fauzi Twaib na kusomwa kwa niaba yake na jaji Amri Msumi Hamisi Mahakam akuu jana iliwazuia SCBHK au TANESO kuendelea kuwa bugudhi IPTL/PAP zinazomilikiwa na Seth mpaka pale uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi utakapokamilika.
Katika hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama mbele ya( Bw Seth mmiliki wa IPTL) Na Kieren Day (mkurugenzi wa SCBHK), jaji Twaib aliamuru TANESCO kutofanya biashara yoyote na SCBHK au Matha Lenju kwa niaba ya IPTL/PAP bila ya idhini ya kimaandishi kutoka kwa IPTL/PAP.
“Wadaiwa kwa pamoja wanazuiliwa kufanya utekelezaji wa maamuzi yaliotolewa katika chombo cha kimataifa ya ICSD yenye namba ARB/10/20 na kusambazwa na wahusika Februari 12,2014, kwa namna yoyote ile na kusubiri uamuzi wa mwisho kwa kesi yao ya madai. “inasomeka sehemu ya hukumu hiyo.
TANESCO ambayo iliwakilishwa na wakili wake, Urasa, pia imezuiwa kutolipa kwa SCBHK na matha Renju malipo yoyote wanayostahili IPTL bila idhini kutoka kwa IPTL/PAP.
Mahakama pia imezuia TANESCO kutotekeleza au kukubalian na au kuyatekeleza maamuzi ya ISCB na kusubiri maamuzi ya mwisho ya kesi yao ya msingi jaji DR Twaibu alitupilia mbali hoja ya mwanasheria wa SCBHK Charles Morrison ambaye alisema kuwa mahaka kuu ya Tanzania haipaswi kusikiliza na kutoa maamuzi juu ya ombi hilo sababu Tanzania ni mwanachama wa ICSD ambayo inajulikana kama Washington Convetion au ICSD.
Kwa mujibu wa jaji DR ,Twaib ,wakili Wakili Morrison alionya kuwa kama Tanzania haitotii wajibu huo itajiweka sehemu mbaya katika nyanja ya kimataifa.
“Kwa heshima kubwa nashindwa kuona mantiki ya utetezi wa Morson na jinsi gani itaathiri mamlaka ya mahakama hii la kuikubali ombi hli japokuwa Morrison amekwepa kusema moja kwa moja maoni yake yamelenga kusema kwamba mahakama hii haina mamlaka ya kutoa mamlaka husika, “
“Ninashindwa kuelewa ni jinsi gani serikali ya Tanzania, ambayo ni sehemu ya kesi hii, itakuwa imevunja mkataba wa Washington Convention wasababu tu ya wanachi wake wawili ambao ni wafanya biashara binafsi, wametafuta amri ya kuzuiautkelezaji wa uamuzi wa ICSD kwa misingi ya udanganyifu sioni ni jinsi gani ,kwa kutumia mamlaka yake katika kutoa maagizo hayo. mahakama hii itakuwa ina ingilia majukumu ya kimataifa ya Tanzania chini ya mkataba wa Washing ton”, inasomeka hukumu ya jaji Twaib.
Sababu ya pili ya Bw.Morrison ya kuona mahakama isikuballi ombi hilo ilikuwa kwamba madai hayo yanaweza kuwa yametolewa miaka mingi iliopita wakati kesi ya ICSD ilipoanza na kubainisha kuwa hiini kesi iliyokufa (TORT CASE) ingekuwa imefanyiwa kazi ndani ya miaka mitatu ya tarehe ile .
Jaji Twaibu alitupilia mbali hoja hiyo kwa kusema “ kwa heshmakubwa kwa Bw. Morrison hoja hii haina nguvu ya kisheria kama .Ilivyosemwa na mwanasheria wa waombaji (BW Joseph Makandege na Melkzedk Lutema) madai hayo yanatoa changamoto kwa uamuzi wa ICSD ambayo ulitolewa mwezi February, 2014. Haiwezi ukasema imepitwa na wakati.Nitatupiliambali pingamizi hilo”
Kuhusu ombi kuwa shauri hilo lisikilizwe kwenye mahakama ya Hon-kong na fedha zote zipelekwe huko,wanasheria wote, Makandega na Lutemba walisema kuwa itakuwa si kutenda haki kwa mteja wao sababu kuna kiasi kikubwa cha fedha kinahusika, ambayo itakuwa vigumu kwa IPTL/PAPkurejea katika hali yake kwasababu SCBHK ni ya nje na haina mali zozote kubwa Tanzania

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA MEZA YA UFUATILIAJI:

STANDARD CHARTERED WAMEMUONGEZEA KAFULILA BILION 1.3 ILI AENDELE KUPILIZA ZUMALI
ndio maana anataka kuoa nini kafulila kwa vile anafungu la kutosha maana amaweza kufanya sherehe kubwa tu bila kuitaji mchango wa mtu,bilion1.3 si mchezo.
 
HIZI MAHAKAMA VERY CORRUPT (CANGAROO COURT) ZINAMDANGANYA NANI? sub SU

Mkuu acha kupotosha umma kuwa mahakama ni wala rushwa wote no! Kuna majaji wadilifu wengi sana na wanajitahidi sana kufanya kazi yao kwa weledi usiyotiliwa shaka. Kwahiyo usijadili jambo hili kishabiki kiasi hicho kisa tu umelishwa maneno na kafulila na kundi lake la mafisadi
 
ndio maana anataka kuoa nini kafulila kwa vile anafungu la kutosha maana amaweza kufanya sherehe kubwa tu bila kuitaji mchango wa mtu,bilion1.3 si mchezo.

Wajina anataka kuoa? Duuh! Fedha za stardand chaterd zinafanya kazi lkn aangalie mwakani siyo mbali atalia na kusaga meno
 
Mkuu acha kupotosha umma kuwa mahakama ni wala rushwa wote no! Kuna majaji wadilifu wengi sana na wanajitahidi sana kufanya kazi yao kwa weledi usiyotiliwa shaka. Kwahiyo usijadili jambo hili kishabiki kiasi hicho kisa tu umelishwa maneno na kafulila na kundi lake la mafisadi

ZITTO aliposhinda kesi mahakama ilikuwa fair?.
 
KAFULILA AUMBUKA KWA KUSEMA SETH HATAKIWI KENYA
View attachment 186998
mmililki wa IPTL na mwakandege mwanasheria wa IPTL

KAMPUNI ya kufua umeme ya Pan African Power Solution inayoimiliki kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imezidi kung’aa katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki katika kusambaza nishati ya umeme.

Hatua hiyo inasababishwa na serikali ya Kenya kuipatia barua kampuni hiyo ya kufanya nao kazi ya usambazaji umeme katika mradi unaohusisha nchi mbili za jumuia hiyo, ambazo ni Tanzania na Kenya.

Barua ya Kenya iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Petroli, Injinia Joseph .K. Njoroge ya tarehe 19, Agosti 2014 kwenda kwa Mwenyekiti Mtendaji wa PAP, Harbinder Sing Sethi.

Taarifa zaidi kuhusiana na barua hiyo, yenye kumbukumbu namba ME&D/CONF/3/2/73A iliyokuwa na kichwa cha habari Expression of interest for IPP for 2000MV power generations and supply to Kenya and Tanzania.

Barua hiyo, ilieleza kuwa inazitaka pande tatu hizo ikiwemo PAP, Tanzania na Kenya kukutana haraka kuona ni namna gani uzalishaji huo utaanza haraka iwezekanavyo.
Akithibitisha barua hiyo, Katibu na Mwanasheria Mkuu wa IPTL/PAP, Joseph Makandege alisema kampuni yao inaendelea kuchapa kazi na haitishiki na kauli za wanasiasa kwa kuwa wao si wanasiasa.

‘’Tunafurahi kuwa tunazidi kuaminiwa na serikali mbalimbali ndani na nje ya Tanzania. Hii inadhirisha ufanisi na ueledi wetu katika tasnia nzima ya nishati,’’alisema.

Hivyo, alisema anaamini maneno yote yanayoenezwa juu yao kuwa yanatawaliwa na chuki na wivu wa kibiashara kutoka kampuni zingine za usambazaji wa umeme.

Kutolewa kwa barua hiyo kwa IPTL kutaweza kuondoa sintofahamu iliokuwepo, baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR- Mageuzi) kudai kuwa Seth anayeongoza kampuni hiyo amepigwa marufuku kufanya biashara ya aina yoyote Kenya.

Kafulila alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini hapa, kuwa Seth ni fisadi na kwamba Kamati ya Bunge ya nchini Kenya imempiga marufuku kufanya biashara nchini humo.
===================================

Chanzo: habarileo

hili ni sakata la aina yake kwa kweli. tunazidi kufumbuliwa macho tu.
 
SIRI zaidi imezidi kufichuka kuhusiana na sakata la akaunti ya ESCROW na IPTL, ambapo sasa imefahamika malipo yaliyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba Profesa Anna Tibaijuka alipewa fedha zinazotokana na akaunti hiyo sio kweli, imefahamika.

Pia, inadaiwa fedha hiyo zaidi ya sh. Bilioni 1.6 alizopata Profesa Tibaijuka kutoka kwa mmoja waliokuwa wanahisa wa Kampuni ya kufua umeme ya Independet Power Supply Limited (IPTL), James Rugemalila hazihusiani na akaunti hiyo.

Taarifa zaidi za kuaminika kutoka katika ofisi za IPTL/PAP zilieleza kuwa fedha hizo zilikuwa ni mali ya Rugemalila, ambaye wakati anatoa hizo fedha kwa Tibaijuka hakuwa tena mwanahisa wa IPTL.

Ilisema nyaraka zinaonyesha kwamba, Rugemalila alikwisha uza hisa zake zote alizokuwa anamiliki kupitia kampuni yake ya VIP, ambapo alikuwa anamiliki asilimia 30 na kuziuza kwa Kampuni ya PAP.

Akizungumza kuhusiana na tuhuma hizo, Mwanasheria na Katibu wa IPTL/PAP, Joseph Makandege alisema katika suala nzima la IPTL ukweli unafichwa na umma hauelezwi.

Alisema tumejitahidi kwa kiasi kikubwa kueleza ukweli halisi, lakini umekuwa ukipotoshwa kwa maslahi binfasi ya watu.

‘Rugemalila(VIP) aliuza hisa zake zote na kufuata taratibu za kisheria na nyaraka zipo ofisini kwetu na BRELA. Rugemalila hakulipwa fedha za ESCROW, bali alilipwa fedha za kuuza hisa zake,''alisema.

Makandege aliongeza ‘Mtu mwenye fedha zake kaamua kumpa mtu mwingine ama kwa kumkopesha, kumsaidia au kwa mapenzi yake mwenyewe fedha zake shida iko wapi na IPTL inahusikaje hapa. Nafikiri Rugemalila ndiye anayejua matumizi ya fedha zake,''.

‘Izingatiwe kwamba fedha za ESCROW sio hisani wala rushwa ni malipo halali yanayotokana na IPTL kuwauzia TANESCO umeme, ambao watanzania wameutumia na wanaendelea kuutumia. Je, wanasiasa walitaka tuwape umeme bure,''alisema.

Makandege alisema IPTL/PAP ni mmiliki halali aliyefuata taratibu zote na malipo aliopewa kutoka akaunti ya ESCROW ni halali na hakuna vitendo vya ufisadi vyovyote.

‘Umma utakuja kuelewa katika suala hili, wanaozungumza wanatumiwa kwa kuwa IPTL/PAP ndio kampuni inayoiuzia umeme kwa bei nafuu Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) kuliko kampuni zote na kinachofanyika ni wivu wa kibiashara,''alisema.

Hivyo, alisema IPTL/PAP haihusiki na fedha zozote alizopewa Profesa Tibaijuka, ambaye ni Waziri wa Ardhi, Maendeleo na Makazi pamoja na watu wengine wote ikiwa wapo wamepewa na watanzania waepukane na upotoshaji huo.

HABARI BILA KIFICHO.: SAKATA LA ESCROW AKAUNTI IPTL YAMKANA PROF. TIBAIJUKA
 
Jamani ile TUMBILI si ilituambia kuwa hizi pesa alizopewa Prof. ni zile za escrow, Duh! kweli tumbili ameamua kukutupotosha!! Kitumbili kimeumbuka
 
SIRI zaidi imezidi kufichuka kuhusiana na sakata la akaunti ya ESCROW na IPTL, ambapo sasa imefahamika malipo yaliyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba Profesa Anna Tibaijuka alipewa fedha zinazotokana na akaunti hiyo sio kweli, imefahamika.

Pia, inadaiwa fedha hiyo zaidi ya sh. Bilioni 1.6 alizopata Profesa Tibaijuka kutoka kwa mmoja waliokuwa wanahisa wa Kampuni ya kufua umeme ya Independet Power Supply Limited (IPTL), James Rugemalila hazihusiani na akaunti hiyo.

Taarifa zaidi za kuaminika kutoka katika ofisi za IPTL/PAP zilieleza kuwa fedha hizo zilikuwa ni mali ya Rugemalila, ambaye wakati anatoa hizo fedha kwa Tibaijuka hakuwa tena mwanahisa wa IPTL.

Ilisema nyaraka zinaonyesha kwamba, Rugemalila alikwisha uza hisa zake zote alizokuwa anamiliki kupitia kampuni yake ya VIP, ambapo alikuwa anamiliki asilimia 30 na kuziuza kwa Kampuni ya PAP.

Akizungumza kuhusiana na tuhuma hizo, Mwanasheria na Katibu wa IPTL/PAP, Joseph Makandege alisema katika suala nzima la IPTL ukweli unafichwa na umma hauelezwi.

Alisema tumejitahidi kwa kiasi kikubwa kueleza ukweli halisi, lakini umekuwa ukipotoshwa kwa maslahi binfasi ya watu.

‘Rugemalila(VIP) aliuza hisa zake zote na kufuata taratibu za kisheria na nyaraka zipo ofisini kwetu na BRELA. Rugemalila hakulipwa fedha za ESCROW, bali alilipwa fedha za kuuza hisa zake,’’alisema.

Makandege aliongeza ‘Mtu mwenye fedha zake kaamua kumpa mtu mwingine ama kwa kumkopesha, kumsaidia au kwa mapenzi yake mwenyewe fedha zake shida iko wapi na IPTL inahusikaje hapa. Nafikiri Rugemalila ndiye anayejua matumizi ya fedha zake,’’.

‘Izingatiwe kwamba fedha za ESCROW sio hisani wala rushwa ni malipo halali yanayotokana na IPTL kuwauzia TANESCO umeme, ambao watanzania wameutumia na wanaendelea kuutumia. Je, wanasiasa walitaka tuwape umeme bure,’’alisema.

Makandege alisema IPTL/PAP ni mmiliki halali aliyefuata taratibu zote na malipo aliopewa kutoka akaunti ya ESCROW ni halali na hakuna vitendo vya ufisadi vyovyote.

‘Umma utakuja kuelewa katika suala hili, wanaozungumza wanatumiwa kwa kuwa IPTL/PAP ndio kampuni inayoiuzia umeme kwa bei nafuu Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) kuliko kampuni zote na kinachofanyika ni wivu wa kibiashara,’’alisema.

Hivyo, alisema IPTL/PAP haihusiki na fedha zozote alizopewa Profesa Tibaijuka, ambaye ni Waziri wa Ardhi, Maendeleo na Makazi pamoja na watu wengine wote ikiwa wapo wamepewa na watanzania waepukane na upotoshaji huo.

HABARI BILA KIFICHO.: SAKATA LA ESCROW AKAUNTI IPTL YAMKANA PROF. TIBAIJUKA

Eheee jamani makubwa mbona sasa mkuu kafulila anaanza kuumbuka sasa
 
View attachment 189992
View attachment 189993

Wakati KAFULILA/ TUMBILI/SISIMIZI anachonga DOMO wanaume wanapiga kazi!! Sikuhizi kaongeza bwana mmoja kwenye list yake ile ya ROSTAM, MKONO ,na MENGI kaongeza na mihela kutoka Standard Chartered-hong Kong. Lakini bado bwana mdogo hawezi kufool watanzania tena

Escrow lilikuwa jambo la kisheria baina ya wabia na
serikali kama mpokea huduma, ambalo walilimaliza wao
wenyewe kwa makubaliano yao ya kisheria.
“Hakuna kitu chochote ovu hapa, mengi yanayozungumzwa
katika mitandao ni ya zamani na si mapya, ambayo
yamemalizika kisheria.
Hivyo IPTL/PAP ni kampuni makini isiyokuwa na
chembe ya kifisadi na imefika hapo baada ya kupita hatua
zote za kisheria, ikiwemo kununua hisa za VIP na
Mechmar.sasa kafulila anapigania nini hapo?au yupo kwa
maslahi ya watu wachache kama inavyodhaniwa?
 
Mkuu unayaandika haya ukiwa unajielewa kweli au umeandika kwa mahaba ya kiushikaji? hebu jaribu kupitia ESCROW AGREEMENT ya tarehe 5/july2006 baina ya serikali ya tanzania kupitia wizara yake ya nishati na madini na kampuni ya kufua umeme ya IPTL pamoja na BENKI KUU YA TANZANIA. Utaujua ukweli juu ya sakata hoilo na pengine unaweza kuwaomba msamaha hawa watu wa IPTL unaowaita wezi leo

Back
Top Bottom