Sakata la Faru John too much

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
Kila kukicha kwa sasa tunasikia updates tofauti tofauti kuhusu Faru John, hivi ni kweli hawa wakubwa hawajaupata ukweli au hawaujui ukweli au ni stunt tu ili tuache kudadisi mambo mengine mengi muhimu, inachosha sana kila siku asubuhi Magazeti ya Tanzania nzima yana headline Faru John Faru John ahh!
 
Nunua magazeti ya "Afumaniwa Laivu Gesti" hutamkuta Faru Yohana wala Faru Petro
 
Kila kukicha kwa sasa tunasikia updates tofauti tofauti kuhusu faru John,Hivi ni kweli hawa wakubwa hawajaupata ukweli au hawaujui ukweli au ni stunt tu ili tuache kudadisi mambo mengine mengi muhimu,inachosha sana kila siku asubuhi Magazeti ya Tanzania nzima yana headline faru john faru john................ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Shida yako nn si uache kununua magazeti tu basi!!!
 
Yaelekea Faru John ni muhimu sana hadi atusahaulishe kujadili masuala muhimu mengine ya huduma za jamii kama madawa hospitalini n,k
 
Watanzania sasa tuangalie mustakabali wa mwaka unaokuja tufanyekazi kuliko kuendelea na mjadala wa Faru John tuziachie mamlaka zinazo husika
 
Unadhani angeumiza watu vichwa kama angeitwa FARU MSOFE....

Ndio maana vitabu vya DINI vinasisitiza kuwapa WATOTO majina mazuri.....
 
Back
Top Bottom