Kule obey na masaki hukuti watu wa namna hiyo wakushangaa makalio poo mind nipite na haya yangu washangae nakunya nawaacha wakishangaa mavi hahahah ila mimi ni mjinga haya maneno sijui yanatikaga wapi hahaha
kazi ni kazi mchina ni mchina wamuache atayajua maisha baadaye maana kama anatumia atakuja juta baadaye na hawa wanaochezea muda kuzomea mtu kwenye starehe zake wasubiri maisha yakiwa piga watajua nini maana ya matumizi mazuri ya muda