Sakata la CUF ni Cover up ya Escrow Saga?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,797
71,214
Imeelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mgogoro wa CUF kuchochewa ili kufunika fikra za watu juu ya sakata la Escrow lililo rudi kwa kasi kubwa.
Ni ukweli kuwa nchi yetu kukiwa na jambo lisilo na majibu kinazushwa kitu kuchota mawazo ya watu na kusahaulisha jambo la msingi.
Jee tukifikirisha akili zetu hili laweza kuwa kweli?
Source; magazeti ya leo
 
Yaweza kuwa,si hivyo hata lile la Tetemeko pia!
Jana Nimemuona RC Wa Kagera Akiwapa Makavu Wahanga kuwa Wakaze Buti,la Sivyo Mvua Yao Jua Lao!
 
Imeelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mgogoro wa CUF kuchochewa ili kufunika fikra za watu juu ya sakata la Escrow lililo rudi kwa kasi kubwa.
Ni ukweli kuwa nchi yetu kukiwa na jambo lisilo na majibu kinazushwa kitu kuchota mawazo ya watu na kusahaulisha jambo la msingi.
Jee tukifikirisha akili zetu hili laweza kuwa kweli?
Source; magazeti ya leo

Mmeshaanza tunguri na manyanga. Bavicha hata hamueleweki sasa mnasimamia wapi na nini. Laana ya Dr. Slaa haitawaacheni salama.
 
Umeambiwa source ni magazeti. Lakini hujiulizi kwa nini Kule mgogoro ni mdogo ndani ya CUF mbona unakuzwa na serikali ili fikra zihamie huko.
Kumbukumbu zipo jinsi serikali hii inavyotumia mbinu za kulaghai akili kama walivyotumia nguvu kubwa kumtangaza Babu wa Loliondo kuzuia maandamano yaliyokuwa yanashika kasi wakati ule.
 
Sikuwa Nimeshtukia Hili,Mpaka Nilipouona Uzi Wako!
 
Umeambiwa source ni magazeti. Lakini hujiulizi kwa nini Kule mgogoro ni mdogo ndani ya CUF mbona unakuzwa na serikali ili fikra zihamie huko.
Kumbukumbu zipo jinsi serikali hii inavyotumia mbinu za kulaghai akili kama walivyotumia nguvu kubwa kumtangaza Babu wa Loliondo kuzuia maandamano yaliyokuwa yanashika kasi wakati ule.
Mgogoro unakuzwa na Mbowe na genge lake la chadema. Hukumsikiya Sakaya? Nyie chadema mna haki ipi ya kuingilia mambo ya CUF?
 
Ila nyie ukawa naoana sometimes kama mnajiabisha tu!

Hivi kuna mtu anaejali juu escrow sasa hivi? Hiyo hoja hata ukienda nayo kwa wananchi hawakupi kura hata moja!

Hoja ya ufisadi ilishazikwa haman anaejali tena!
 
Lugumi tulipigwa,IPTL TUTAPIGWA TENA MZEE wa majipu yuko anakimbiza na dagaa
Wakati wasomi na wanasiasa wanapambana CUF ni ya Lipumba au ya Seif huku msajili akichochea kuni, ndani ya serikali kunaangaliwa namna ya kuwalipa TENA Standard Chartered hela nyingine.
Zikishalipwa Msajili anajitoa sakata hilo na kuwaambia mtajijua wenyewe,
Tukirejewa na akili tunakuta Escrow ni manyoya tuu tushaliwa
 
Mmeshaanza tunguri na manyanga. Bavicha hata hamueleweki sasa mnasimamia wapi na nini. Laana ya Dr. Slaa haitawaacheni salama.
Wewe ni wale wanapeleka kikombe kila jioni na kuulizwa umepata likes ngapi? Watu hawana chanjo, akina mama wajawazito wanaambiwa mara Amana mara Muhimbili na mpaka sasa hakuna chanjo wakati inabidi tulipe hizo pesa za Tannesco?. Mwenzetu wewe ni waziri nini? Mbunge? Katibu mkuu wa wizara au upo kwenye mapesa ndo maana hujui shida za sisi walala hoi?
Yaonyesha wewe watoto wako hata kama ni vilaza wamepewa kazi wakati watoto wetu wametoka na Upper Second tena kwenye BSce bado wanahaha mitaani. Sisi ambao watoto wetu tumebeba mpaka madawati kupeleka shule za kati ili watoto wetu wasome unakuja na majibu ya bavicha? Hivi kila member humu anayetoa wazo la kukosoa serikali ni bavicha? Hujui kama kuna watu hata hayo masanduku ya kura tuliyaacha tangu zama za Nyerere za kupigia picha jembe na nyumba na giza? Wewe kama umezoea kula makapi kula sisi tunalilia haki yetu kama walipa kodi. Tunalipa kodi mnaofaidi ni nyinyi mnaokuja kuleta bezo humu. Mwenzetu tunajua ukiumwa utapelekwa na ndege ya rais Ujerumani mnakokunanga kama alikoenda Mzee Sitta na siyo India. Mbona sijasikia mnaenda China kama kweli mnawathamini wachina? CUF ni mkono wa chukua chako mapema na vibaraka wao ambao wengine wamehama nchi na kuwa wakimbizi wa ihari.
 
Wakati wasomi na wanasiasa wanapambana CUF ni ya Lipumba au ya Seif huku msajili akichochea kuni, ndani ya serikali kunaangaliwa namna ya kuwalipa TENA Standard Chartered hela nyingine.
Zikishalipwa Msajili anajitoa sakata hilo na kuwaambia mtajijua wenyewe,
Tukirejewa na akili tunakuta Escrow ni manyoya tuu tushaliwa
Waandishi wa Habari Hawaja Chelewa,Waanze Kuandika Sasa...
 
Mgogoro unakuzwa na Mbowe na genge lake la chadema. Hukumsikiya Sakaya? Nyie chadema mna haki ipi ya kuingilia mambo ya CUF?
Ndio zungusha akili, kumbe hata Sakaya haelewi kinacho endelea. Usicheze na mbinu za serikali inapoamua kuficha au kuua soo.
Jiulize kwa nini nguvu kubwa ilitumika kwa babu wa Loliondo?
Kitengo kiko kazini huku watu wanashikana uchawi
 
Imeelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mgogoro wa CUF kuchochewa ili kufunika fikra za watu juu ya sakata la Escrow lililo rudi kwa kasi kubwa.
Ni ukweli kuwa nchi yetu kukiwa na jambo lisilo na majibu kinazushwa kitu kuchota mawazo ya watu na kusahaulisha jambo la msingi.
Jee tukifikirisha akili zetu hili laweza kuwa kweli?
Source; magazeti ya leo
Nadhani ni Zanzibar na UKAWA
 
Nadhani ni Zanzibar na UKAWA
Mkuu Zanzibar na UKAWA yawezekana but kama target ni 2020 mbona mbali mno? Ukiwakorofisha sasa muda wa kuponya majeraha upo wa kutosha ndio maana nadhani hapo ndio kitengo kinapotaka kutuaminisha kuwa ndio lengo lao.
Hukumu ya ile hela ishatoka jee mbona serikalini kimya? Ni kwa vile CUF Imechukua nafasi
 
Wewe ni wale wanapeleka kikombe kila jioni na kuulizwa umepata likes ngapi? Watu hawana chanjo, akina mama wajawazito wanaambiwa mara Amana mara Muhimbili na mpaka sasa hakuna chanjo wakati inabidi tulipe hizo pesa za Tannesco?. Mwenzetu wewe ni waziri nini? Mbunge? Katibu mkuu wa wizara au upo kwenye mapesa ndo maana hujui shida za sisi walala hoi?
Yaonyesha wewe watoto wako hata kama ni ****** wamepewa kazi wakati watoto wetu wametoka na Upper Second tena kwenye BSce bado wanahaha mitaani. Sisi ambao watoto wetu tumebeba mpaka madawati kupeleka shule za kati ili watoto wetu wasome unakuja na majibu ya bavicha? Hivi kila member humu anayetoa wazo la kukosoa serikali ni bavicha? Hujui kama kuna watu hata hayo masanduku ya kura tuliyaacha tangu zama za Nyerere za kupigia picha jembe na nyumba na giza? Wewe kama umezoea kula makapi kula sisi tunalilia haki yetu kama walipa kodi. Tunalipa kodi mnaofaidi ni nyinyi mnaokuja kuleta bezo humu. Mwenzetu tunajua ukiumwa utapelekwa na ndege ya rais Ujerumani mnakokunanga kama alikoenda Mzee Sitta na siyo India. Mbona sijasikia mnaenda China kama kweli mnawathamini wachina? CUF ni mkono wa chukua chako mapema na vibaraka wao ambao wengine wamehama nchi na kuwa wakimbizi wa ihari.

Ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom