Sakata la CAG kusafiri nje ya nchi limeishia wapi?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,324
152,136
Leo baada ya RAS wa Mwanza kufukuzwa kazi immediatetly, naomba kujua sakata la CAG lilikwishaje maana imekuwa kimya tu na hakuna anaehoji kitu ambacho sidhani kama ni sahihi.

Waandishi mnaporipoti matukio muwe mnafuatilia ili umma ujue hatima ya swala husika(feedback).
 
Peleka facebook utapewa majibu
 
Nilisoma hiyo habari mtanzania.
Ni uandishi wa aibu kabisa.
Hakuna facts ni majungu na umbea.
CAG alionewa.
 
Back
Top Bottom