Sakata la Bundles - Suluhisho

Nimeanza kuelewa kwanini Magufuli aliamua kuanza kuipa uwezo na mtaji TTCL ili iweze ku dominate market kutokana na good and quality products nad service care ili wengine waweze kuiga kwao na mwisho wa siku mnufaika mkubwa ni sisi watumiaji wa mwisho/wa chini/mwananchi wa kawaida. Ila toka 21/03/2021 mambo ya CARTEL ndio yamerudi kutunyonya. Tuna safari ndefu sana
 
100%
 
Nimesoma kwa undani mkuu uzi wa 2022 lakini mpaka sasa hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanywa, Hii nchi wakubwa wanatunzguka sana
 
3 years now hakuna mabadiliko means Gov inanufaika upande wake pamoja na hao wenye mitandao ila watumiaji huduma hatujawahi kuacha kulalamika
 
Kwa sasa hii situation imekithiri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…