Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Ukweli Askofu pengo alipo pata taarifa ya bomu la Arusha,kama kawaida yake alitoa tamko safari hii kwa haraka kwa kukosea ,alisema mtu kamupa taarifa na anamwamini sana huyo mtu na kwamba kupitia kwa huyo mtu hilo tukio hali husu, dini eti ni la Kigaidi ukweli kauli ya pengo imekatisha tamaa watu hasa intelectuals viona mbali kuwa hawa kwel i viongozi wamejua kwa kuambiwa yaani hata uongo yeye basi alikuwa amwamini mtu huyo kanakwamba huyo mtu ndiye alitengeneza bomu hilo na amemupa ukweli pengo, au huenda wengi walijiuliza kuwa sio udini ni ugaidi kwani aliye umizw a ni mwananchi wa kawaida na siyo mwakilishi wa papa hapo ndipo matamuko ya kuwa ni udini yange semwa,binafsi watu pamoja na pengo wame conclude mapema mno na kuwa i natia shaka haija washitua kabisa,viongozi hawa mi nafikiri bado viongozi wadini na serikali waache matamko ya haraka haraka na yasiyo na tafakuri kwani wabaya watatumaliza wakiona wamefanya na watu wanawasemea ,AMEN

Mbona na wewe hapa umeconclude kuwa Kuwa kauli hii imetolewa wakati hujafanya uchunguzi? Wewe umesikia hilo tamko la Pengo?pengo na huyo mtu aliyemhakikishia kuwa shambulio hilo sio la kidini wanapaswa kukamatwa ili kusaidia polisi maana watakua wanaujua ukweli wote. Huwezi ku-conclude kitu wakati uchunguzi haujakamilika. itakuwaje kama uchunguzi utaonesha tukio hilo lina connection na masuala ya kidini. Pengo atawambia nini waumini wake? Inawezekana kabisa serikali imem-approach na kumuangukia miguuni kumuomba atoe hiyo kauli ili kupoza joto. Isitoshe kauli aliyoitoa pengo ni ya kwake binafsi na sio kauli ya kanisa katoliki nchini.
chezea serikaki wewe? Pengo kashapewa ahadi ya kubebwa na serikali katika mfumo kristo, haiwezekani tukio kama hilo litokee kanisani, halafu mtu anakanusha hili halihusiani na masuala ya kiimani! Wakristo hata viongozi wa dini wanaongwa!
Tatizo viongozi wengi wa dini wanatumika na wanasiasa!
wewe ndio bure kabisaaaaa! kwani hayo mavazi wahalifu wengine hawawezi kuvaa? yani kama wewe ndio ungekuwa mpelelezi kigezo hicho kingekutosha kuwahukukumu watu wa imani fulani kwamba ndio wako nyuma ya tukio hilo?Aliyerusha BOMU kanisani alikuwa amevaa kofia ya Dura(barakashia),kazu nyeupe,koti la mvua na suruali fupi,pia alikuwa na Ndevu nyingi,biala ya shaka watakuwa ni wafuasi wa Uamsho na Ponda wanashinikiza viongozi wao waachiwe.
Chezea Uamsho na Ponda wewe,tutaona mengi huko tunakoelekea japo Serikali na Pengo wanapindisha ukweli.