Sakata la ACG na Spika ni madudu yaliomo kwenye report yake tukiachana na 1.5 trillion kuna madudu ya spika binafsi.

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,881
2,000
‪Zaidi ya Watu 5000 wameshasaini, unasubiri nini? Saini Wito Kwa Bunge La Tanzania Kuondoa Azimio Lake La Kutofanya Kazi Na Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Ili Kuendeleza Utawala Wa Sheria, Uwajibikaji, Kupiga Vita Ufisadi Na Kulinda Katiba. http://changetanzania.org/petitions...vita-ufisadi-na-kulinda-katiba-istandwithcag‬

Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.

Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili – maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini.Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.

Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.

Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.

Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge.
 
tutaweza

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
634
500

Rekebisha heading, ni CAG na sio ACG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom