Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 5,319 Reaction score 10,170 Monday at 12:15 AM #21 Mwafrikamtanzania said: Kwa hizi zama ni heri kuishi alone tu. Si Kwa KE wala ME Click to expand... Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji
Mwafrikamtanzania said: Kwa hizi zama ni heri kuishi alone tu. Si Kwa KE wala ME Click to expand... Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji
Mwafrikamtanzania JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,212 Reaction score 1,593 Monday at 1:56 PM #22 Jane Msowoya said: Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji Click to expand... Nyakati hizi ni too much! Waliooana miaka ya 1970s, 1980s waliweza.
Jane Msowoya said: Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji Click to expand... Nyakati hizi ni too much! Waliooana miaka ya 1970s, 1980s waliweza.
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,112 Reaction score 32,167 Monday at 1:58 PM #23 MawardatDellapina said: Ndoa ni heshima📌 Click to expand... Ndoa ni kati ya mikataba mibovu sana duniani ambayo binadamu anaweza kuingia.
MawardatDellapina said: Ndoa ni heshima📌 Click to expand... Ndoa ni kati ya mikataba mibovu sana duniani ambayo binadamu anaweza kuingia.
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,112 Reaction score 32,167 Monday at 1:58 PM #24 Jane Msowoya said: Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji Click to expand... Kweli
Jane Msowoya said: Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji Click to expand... Kweli
MEGATRONE JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 1,441 Reaction score 2,561 Monday at 1:59 PM #25 Yule mzungu wako aliyekuoa ameshakupa ujauzito? au bado hujapandikiziwa kipochi manyoya!
MawardatDellapina JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 30,209 Reaction score 152,062 Monday at 2:01 PM #26 Titicomb said: Ndoa ni kati ya mikataba mibovu sana duniani ambayo binadamu anaweza kuingia. Click to expand... Ndio maana hulazimishwi.uamuzi ni wako.
Titicomb said: Ndoa ni kati ya mikataba mibovu sana duniani ambayo binadamu anaweza kuingia. Click to expand... Ndio maana hulazimishwi.uamuzi ni wako.
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,112 Reaction score 32,167 Monday at 2:02 PM #27 Jane Msowoya said: Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji Click to expand... Sahihi. Mfale Henry VIII wa Uingereza alioa jumla wake 6. Wawili aliwauwa kwa kuwakata kichwa.
Jane Msowoya said: Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji Click to expand... Sahihi. Mfale Henry VIII wa Uingereza alioa jumla wake 6. Wawili aliwauwa kwa kuwakata kichwa.
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,112 Reaction score 32,167 Monday at 2:03 PM #28 MawardatDellapina said: Ndio maana hulazimishwi.uamuzi ni wako. Click to expand... Sahihi