Sci_fimovies
Member
- Sep 15, 2019
- 43
- 98
Duuh... Inabidi serikali itupe knowledge ili tujue pesa fake na original kipi kinatofautishaHakuna kitu kama hicho. Kuna siku nilienda na laki nne noti mpya zaelfu tano tano, nimetoka kuchukua benki ili niweke kwenye Mpessa. Dada wa mpessa akaanza kuzikagua akasema mbona zimechanganyika na feki!!! Duuh! Nikamwambia nipe pesa zangu,nikaenda kudeposit kwa mwengine.
Apa itabidi tuweke Hela ATM tuLabda tupo salama kwenye mfumo wa electronic
Benki moja tu ndo ina huo mfumo wa kuweka hela kwenye ATM zingine bado hazijaingia huko ni NBC pekee kwa Tz.Apa itabidi tuweke Hela ATM tu
Sema Tz atuna mambo ya kulipa kwa Card kama wenzetu kwaiyo itatubidi tu kuzifahamu izo noti feki zipoje
Anhaaa nimeona za tofautiana ila mbna zaman zilikuwa sawa kwann noti za 1000 za sasa zimechange ila kwenye 10000 ipo ile ile na atujapata ata maelekezo ya mabadiliko... Ndo maana watu wanahisi ni hela fekiSahihi ya Waziri wa Fedha kwenye 10000 na 1000 zina utofauti japo ni Waziri yule yule.
Chunguza
Bot haizitambui izo coin ..Mtaanza kutumia bitcoin soon ili kujiepusha na hayo mausumbufu yasiyo na mpango
Bot haizitambui izo coin ..
Nimeona kwa Gavana asa
Nilienda sehem nikainunulia kitu lakn cha kushangaza naona nyng saini ni ile ile kama iyo apo juu alotuma kkSasa ww umeacha kuweka picha ya iyo not unaleta story
Ili kuepusha mambo ya signature itabid zitambulikeBot haizitambui izo coin ..
Sio kweli, First National Bank (FNB) unafanya deposit pia kwenye atm za nje ya branch zao.Benki moja tu ndo ina huo mfumo wa kuweka hela kwenye ATM zingine bado hazijaingia huko ni NBC pekee kwa Tz.
Inawezekana mkuu ila tatizo ni haijasambaa kulinganisha na NBCSio kweli, First National Bank (FNB) unafanya deposit pia kwenye atm za nje ya branch zao.
Limit kwa muamala mmoja ni 1M.
Tuendelee kuiunga mkono serikali ya awamu ya Tano ili wafanye hayo kwa wakatiKabisa