nimekwambia usigeneralize tabia za ukoo au kabila lako udai ni tabia za wanaume. Huo ndiyo ukweli, kama kwenu wanawake wanapigwe elimisha wanaume wa kwenu waacha ujinga huo. acha ku-generalise tabia za kwenu udhani ni za wote. period!!!
Ha ha ha ha ha, in my crazy mood,yes. Hamna adui mdogo, hata kama kichanga kama hujwahi 'kukifua' piga kabisa, kinaweza kutoa nishai ukaaibika bure.
Kwa mood yangu ya kawaida, ni wehu kukosea mtu afu ukajihami kwa kipigo, ni weakness ya akilini.
Acha hizo bana, mie natamia tu.
Kwenye sred kama hizi usimtaje ujue?
Ila ngoja. Hivi kwani bado anafaa kuitwa Zombie? Si amepanda daraja hasa baada ya yule mwingine kushushwa?
Mwanamke ni mali ya mumewe , amemlipia mahari na bado anaendelea kumtunza kwa gharam kimsingi mwanaume anaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja lakini kamwe kwa mwanamke kuwatumikia mabwana wawili
Hadi mwanaume anaamua kutembea nje basi wewe kama mke ujue keshakuchoka. Ukifumania unapigwa kwa vile mwanaume anajaribu kutetea mahusiano yake na kimada wewe unakuwa huna kazi tena kwake.
hamna kitu kama hikii. inawezekana hii ni tabia ya wanaume katika ukoo wenu
ZOmbie kwa sasa limebadilika na kuwa 'a romantic name'
Linabeba historia ya mahusiano, so nimeamua kulibakiza hadi kifo kitutenganishe:dance::dance: