Saidieni hapa........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saidieni hapa........

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by bakuza, May 10, 2012.

 1. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 487
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naomba msaada wa kusaidiwa kueleweshwa ni jinsi gani naweza kuusajiri umoja/chama cha wakazi wa eneo furani.Umoja huu unahusika na shughuli za kimaendeleo ya kiuchumi na kusaidiana katika shida na raha.Nimeomba hivyo mapema kwa sababu tulitaka kufungua account ya umoja huo wakakataa kutufungulia kwa jina la umoja ila wakasema tufungue kwa majina ya watu.Ili tufungue kwa jina la umoja ni mpaka tusajiriwe.
  Msaada tafadhari......
   
Loading...