Saidi kubenea ashaingia bungeni teyari

Saidi kubenea ashaingia bungeni teyari

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Saidi kubenea ashaingia bungeni teyari,tena saidi kubenea atashinda kwa kishindo kikubwa sana,utafiti. Utafiti wa kitaa unaonyesha ndugu kubenea ashaingia bungeni kabla hata ya kura zenyewe
 
Sasa ndo umeandika nini mkuu?
nilitegemea utuwekee huo utafiti.
vipi kura za maoni kapita hapo ubungo na mnyika vipi kachukua fomu wapi?
 
kapitia mlangoni au dilishani.
 
Sasa ndo umeandika nini mkuu?
nilitegemea utuwekee huo utafiti.
vipi kura za maoni kapita hapo ubungo na mnyika vipi kachukua fomu wapi?

Mnyika mbona ni mbunge wa kibamba siku nyingi ndugu
 
Kwa akili za darasa la saba ulizonazo kama kubenea mwenyewe alivyoishia hilo hilo la saba basi ni kweli keshaingia
 
Saidi kubenea ashaingia bungeni teyari,tena saidi kubenea atashinda kwa kishindo kikubwa sana,utafiti. Utafiti wa kitaa unaonyesha ndugu kubenea ashaingia bungeni kabla hata ya kura zenyewe

Nakubaliana na wewe..... Masaburi anapoteza muda wake...
 
Saidi kubenea ashaingia bungeni teyari,tena saidi kubenea atashinda kwa kishindo kikubwa sana,utafiti. Utafiti wa kitaa unaonyesha ndugu kubenea ashaingia bungeni kabla hata ya kura zenyewe
Mkuu unazungumzia bunge lipi la machizi au la kibosho.
 
Saidi kubenea anakubalika sana na wananchi wa hali ya chini na ndio wapiga kura wengi
 
Back
Top Bottom