Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya Wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atatenga fedha maalum kwa ajili ya kuwapatia Vijana mahari ili waweze kuoa
Soud amesema hayo Agosti 14, 2025 alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari katika ofisi za chama chake zilizopo Mwera nje ya mji wa Zanzibar, wakati akitangaza azma yake ya kugombea Urais kupitia Chama cha Wakulima