Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

Ston Merchant

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
393
Reaction score
103
Said Mtanda aibuka kidedea kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika hivi punde bungeni kuwania nafasi ya ujumbe katika bunge la Africa.

Said Mtanda kapata votes 142 viz a viz Hamisi Kigwangalla with 76 votes.

Source: Toka Bungeni Live
 
Binge Live ...ndio station gani ? Kiherehere cha Habari

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kigwangala hajui tu, asome alama za nyakati na hio ni msg kwake kuwa siku zake zinahesabika, bora angeenda kumsalimia dr.Ulimboka kuliko kupoteza muda
 
Walivojieleza tu nilijua Kingwandala chali, Bwana Mtanda anajua kupanga hoja na anaongea simple kila mtu anaelewa,sasa kingwandala kuanza kujisifu yeye ni miongoni mwa watu wachache wanaofaa kwenye nafasi hii kunamfanya wabunge hasa wale wenye elimu ndogo wamchukie!!
 
Dr.kigwa hajajua tu watu wanataka nini,alipoanza kutaja maelimu yake kwa mbwembwe nikajua tu lazima atapigwa chini.
 
...hasa ikizingatiwa kwamba sifa ya elimu anayotakiwa kuwa nayo mgombea ubunge ni "angalau awe amemaliza elimu ya msingi"; vinginevyo binafsi sioni ubaya wa HK Kigwangalla kuelezea elimu yake kwamba anatosha katika nafasi aliyokuwa anaiwania;
 
Angejua wabunge ambavyo hawamtaki hata angesimama pekeyake asingepata nusu..... Dogo alikuwa kwenye mtandao wa JK na Makamba...bado ana harufu ya mtandao
 
clear.cache.gif

mbunge.nzega
Siwezi jaribu tena! I will never try the impossible! This time I was checking out and have received the response! Sipendwi na wenzangu...I thought wamenisamehe kwa kosa la kusema ukweli na kuwa na misimamo mikali kwenye issues...

Baada ya kutakiwa ktokata tamaa na wana mabadiliko..
clear.cache.gif

mbunge.nzega
kukata tamaa is not in my vocabulary...mapambano ndiyo kwanza yanaanza!

clear.cache.gif

mbunge.nzega
Frank, wanapenda mtu wa ndiyo na mimi bahati mbaya sana siko hivyo, so siwezi kushinda uchaguzi ndani ya Bunge hata siku moja maana si-conform to the 'yes norm'

clear.cache.gif

mbunge.nzega
Dully, huo ni mtazamo wako wewe mwenyewe. Haukatazwi.

Ila nimepigwa kampeni chafu sana na watu wakubwa kabisa na nilijua wazi kuwa my chances were slim...na kampeni zenyewe zililenga kunichafua kuhusiana na msimamo wangu kuhusu haki na maslahi ya madaktari na sekta ya afya kwa ujumla. na pia kwenye sekta ya madini na harakati zangu za kudai haki za wananzega...nimesulubiwa kwa haya. namshukuru Mungu nimejifunza...japokuwa kwa machungu, na sasa sintotetereka tena, naijua nafasi yangu ndani ya CCM na miongoni mwa wabunge wenzangu


Nasikitika kwamba CCM imekosa watu makini wa kuelewa umuhimu na faida ya kuwa na vijana makini kama mimi na uwezo wetu wa kujenga hoja na kuweka misimamo yenye kuleta mafanikio kama ilivyojionesha, nadhani tunakoelekea si kuzuri sana ...

My Take; Mkuu Kigwangallah jipe moyo next time hapana shaka magamba wenzio wataelewa umuhimu wa kuwa na kijana msomi kama wewe katika Bunge kama hilo

BTW, nimepapenda sana hapa...
clear.cache.gif

mbunge.nzega
Ahsante Kamanda!

Ukitaka kuona majadiliano ingia https://groups.google.com/forum/#!topic/mabadilikotanzania/4pA7j_uVgf8[1-25]
 
Ni bora angekwenda kumpokea ULI nilijua atashindwa tu, CCM hawamwamini kabisa. A jipange kuhama chama next uchaguzi
 
Namuamini bt kajipange co kulalamika nje ya bunge.kalalamike bungeni.
 
Mbona thread haileleweki? Alikuwa anawania nafasi ndani ya bunge au ndani ya CCM? Na je hiyo ilikuwa ni nafasi gani?
 
Back
Top Bottom