Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

Kigwangalah anakata tawi la mti alokalia..hapo ndo namtilia shaka IQ yake.
 
Kigwangalah kwa vipimo vyote hawezi kushindana na Mtanda, hana hekima, busara na haiba za uongozi. Kura alizopata Bashe kwenye maoni ya CCM unaweza kuzigawa mara tano na bado akamshinda Kigwangalah leo anataka kuongea nini?
 
Dr.kigwa hajajua tu watu wanataka nini,alipoanza kutaja maelimu yake kwa mbwembwe nikajua tu lazima atapigwa chini.

nimemsikia redioni akitoa neno baada ya matokeo, hicho kizungu alichoongea changu kina nafuu, bora angetumia lugha yetu tu hasa ukizingatia alikuwa anaongea na wabunge waswahili.
 
Said Mtanda aibuka kidedea kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika hivi punde bungeni kuwania nafasi ya ujumbe katika bunge la Africa.
Said Mtanda kapata votes 142 viz a viz Hamisi Kigwangalla with 76 votes.

Source: Toka Bungeni Live
Kwa uchache wa kura alizopata, inaashiria magamba wengi hawamtaki.

Nilitaka kujua wapinzani wengi walimpigia kura nani kati ya hawa wawili.
 
Kwa uchache wa kura alizopata, inaashiria magamba wengi hawamtaki.

Nilitaka kujua wapinzani wengi walimpigia kura nani kati ya hawa wawili.

Hata idadi ya kura alizopata alipaswa kuwashukuru waliompigia na si kuanza kunung'unika. Wapinzani wengi walikuwa wakimpigia debe Mtanda. Akina Nasari na Sugu nimewaona asubuhi wakimsaidia kugawa vipeperushi.
 
Let me be guys...

Ukirejea thread inayosema wewe una kundi lako mnapanga mgombea urais wa CCM kuna muungwana alikushauri uanze kujijenga kwanza wewe mwenyewe kabla haujaenda kwenye kumjenga rais ajaye. Haya ya leo yatakuwa ni marudio tu.
 
Mheshimiwa pole sana, kwa hali ilivyo jiandae tu kuwa mbunge mstaafu, kwa sasa ukiweza ikomalie kisawasawa hoja ya wastaafu bungeni ili na wewe uje kufaidi matunda yake mapema.

Wewe kweli Concrete!
 
Ama mbeleko umekatika
Au amewanyea waliompakata
hadi ubunge akaukwaa
na sasa wameamua kumtosa...
Anavuna alichopanda!
 
Ama mbeleko umekatika
Au amewanyea waliompakata
hadi ubunge akaukwaa
na sasa wameamua kumtosa...
Anavuna alichopanda!

Waswahili husema ukibebwa ujibebeshe.
 
Kigwangwallah hana shukurani. Kapitishwa na CCM kwa upendeleo wa hali ya juu akiwa mtu wa tatu, leo anaigeukia CCM hiyohiyo kuwa haipendi watu kama yeye?!! Kwa hiyo yule aliyepitishwa kwa upendeleo alikuwa mwingine au???
When you join a game, you learn rules of the game, you dont make rules of the game...
 
DR. Kigwangwalla mbona mnamchukia sana? Nafikiri Mungu anamuandalia sehemu nzuri sana zaidi ya hiyo.
 
Back
Top Bottom