Lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Je mmejiandaa.
Anaye ongelea Udini, ama kuwatetea wakristo au waislam au mabudha, akili yake haina akili..ni mpuuzi
Uislam, Ukristo, Ubudha, uyoga na mengineyo, zote hizi ni dini za kuja, zimetukuta watanzania wote hatuna dini, wakoloni wakatunywesha dini zao, wakatutawala kimabavu, sasa ati leo mtu anatutumka kabisa akitetea dini fulani as if anajua chanzo na hatma yake.. huo ni upuuzi.. fine kila mtu awe na dini yake sikatai, but iwe na maana kwako tu.. mtu anayeongelea mambo ya kutetea dini yoyote kwangu mimi ni mpuuzi.. nadhani hata nyumbani kwake ni mpuuzi tu.. hata mkewe/mumewe/majirani/office mates na jamii wanamwona mpuuzi tu..hafai kwa lolote..
imagine kama leo waislam watasema hivi, kesho wakristo watesema vile.. unadhani taifa litakuwepo, ikumbukwe Tanzania imeshamezwa na intermariages, mkristo kamwoa muislam, yoga kamwoa mkristo, kiasi kwamba hata watoto hawajui waende dini gani, sasa mtu anayeongelea mambo ya dini anahukumu familia yake, ya jirani yake, ya ndugu yake, ni mpuuzi sana kama CCM chama cha Damu ambacho kiko tayari kufanya chochote hata kuua watu ili kibaki madarakani.. Chama kisicho na utu.. wapuuzi..nasema wapuuzi.. narudia tena wapuuzi wala siondoi shilingi ya maneno yangu.. wewe uliona wapi, meli imezama, maelfu ya watu bado wameshikiliwa na maji kwenye urefu wa kina cha mita300 chini baharini, watu wanatapatapa, watanzania wenzetu, watoto wetu, marafiki zetu, maji yenye ukatili yanawaangamiza bila huruma, watalii kule zanzibar wamesitisha shughuli za utalii, wameenda kuokoa watanzania baadhi.. kisha huko Igunga Chama Hicho Hicho kinafungua kampeni, tena kwa manjonjo, ngoma na machezo.. Utawaitaje watu hao.. nakuuliza utawaitaje???.. mafidhuli na wapuuzi tu.. kisha Usiku wa siku hiyo Wengine huku wanaji-miss TZ, kisha serikali inashawishi SMZ iwaghadibikie Vodacom, ilihali wao jioni hiyo hiyo walikuwa wakifungua kampeni.. Wapuuuuzui..
Leo wanashauri Watu wa dini fulani waingie kwenye kampeni yao kwa tiketi ya itikadi ya udini, ni wapuuuzi vilevile..