born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,500
maneno kama haya ndiyo huwa yanawanyima kura CHADEMA, hata majukwaani huwa wananadi sera zao kwa matusi hivihivi.
dr.slaa hajawahi kuwa mbunge kupitia ccm.
Ni sheria za Tanganyika na tanzania tu,kipindi kile ukiwa unataka kufanya kitu cha msingi,eti lzm uwe mwanachama wa ccm
Huyu Said Arfi, ni mtu makini aliyekataa kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.
Dr. Kiboko yenu kila issue lazima muipindishie kwake, na bado pamoja na miaka yake lakini damu yake inachemka kuliko yako ktk kukupigania wewe usiyejitambua anakupigania!
hongera wewe ulie mzima..utaishi milele kama jiwe kamanda
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.
Mpuuzi tu huyo. Ubunge atausikia kwenye mitaani, CDM hatakuwepo na hao CCM anaotaka kuwafurahisha hawatampa nafasi ya kugombea!
-------- wewe kwani ubunge unapatikana chadema pekee kwanza yeye kachaguliwa na watu wala siyo chadema chadema wakome kabisa kuburuza watu.
Prince, umeisoma lakini hi comment? "Makamu mstaafu au aliyejiiuzulu? Leo ndio kajua wananchi kwanza? Jana katibu wake Mona Joseph alikuwa mlele akigawa kadi za ACT ..... " au uliparuka makusudi!
Said Arfi akiwa hoi kitandani
Hivi mtu kuunguwa nayo ni kosa kwa Chadema hawa makamanda wa Chadema wanachekesha sana.Said Arfi akiwa hoi kitandani
said arfi akiwa hoi kitandani
Hivi mtu kuunguwa nayo ni kosa kwa Chadema hawa makamanda wa Chadema wanachekesha sana.
natamani wabunge wote wangekuwa na fikra huru kama huyu arfi.
arfi ni msukule wa pinda anatumika vibaya bila kujua
Na mchaga mwenzio Lema ni msukule wa nani?
lema ni huru sana. wachaga hawaendeshwi na mawazo ya mtu mmoja msalani tambua hilo. tuna misimamo yetu
so what! inakusaidia nini wewe binafsi unajidhallilisha kwa tsh 7000/=Said arf amegoma kabisa kuwa msukule