Dereva wa basi la Sai Baba amefariki dunia papo hapo na abiria 17 wamejeruhiwa baada ya basi hilo kupinduka katika eneo la Mwambegere wilayani Chunya mkoani Mbeya.
Dereva wa basi la Sai Baba amefariki dunia papo hapo na abiria 17 wamejeruhiwa baada ya basi hilo kupinduka katika eneo la Mwambegere wilayani Chunya mkoani Mbeya.
Chunya? Kutoka dar? Au chimala??????ila kuna vitambaa vyeusi vinaning'inia katika haya mabasi ya sai baba vinafungwa kwa nyuma au mbele, kama ukichunguza vizuri utaviona,yale ni majini na hupewa damu ktk kila kipindi fulani,
Jamani hawa madereva wa mabasi ya mikoani wanahitaji kuombewa kwani sidhani kama ni wazima kiakili.Najua ni vigumu kunielewa kama hauishi kati ya Ubungo na Kibamba na pia kama hauna gari dogo.Hawa madereva ukiwa na kigari chako kidogo kwao ni sawa na karatasi barabarani yaani utadhani wameambiwa barabara ni kwa ajili ya mabasi tu,RIP dereva.
kwa imani hizi ajali zitaendelea sana hapa Tanzania kwani mtazamo wako unawakilisha mtazamo wa watanzania wengi sana. Badala ya kuangalia sources za ajali na kujaribu ku-take precautions wao wanaamini ni kafara za wenye magari.
Ikitokea BIMA wakamlipa mmiliki wa SAI BABA pesa za basi jipya, wabongo utawasikia "umeona, basi lake liliua, ameleta basi jipya baada ya kutoa kafara"
Dereva wa basi la Sai Baba amefariki dunia papo hapo na abiria 17 wamejeruhiwa baada ya basi hilo kupinduka katika eneo la Mwambegere wilayani Chunya mkoani Mbeya.