Sahihi na halisi

Explainer

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
516
504
Lugha yetu imekuwa pana na yenye matata mengi sana.

Ndugu zangu wapenda kiswahili napenda kujua ipi kati ya hizi sentensi ni sahihi na halisi kwa huyu muusika (FUNDI)?

1; FUNDI uashi anatengeneza nyumba.
2; FUNDI uashi anajenga nyumba.

Mchango wako tafadhali.
 
Fundi mwashi anajenga nyumba.



Maana Mwashi ni mtu anaye jenga nyumba kwa matofali au mawe.
 
Back
Top Bottom