nje ya mada kidogo mdau...................natafuta copy ya hadithi ya ''mkimbizi'' ya huyu HUSSEIN HASSAN TUWA,tafadhali sana nakuomba!nijulishe kwa pm kama kuna uwezekano!
Nilishawahi kukutana na Wasudan huko Sweden na wakaniambia kuhusu huyu jamaa. Walishangaa kuwa simfahamu na wakasema ni Mjomba wao.
Wakati namsifu mmoja wao kuwa ni mrefu, akaniambia kuwa MJOMBA wake ndiyo mwisho wa matatizo.
Kweli nilipokuja kumuona, nikavua kofia. Jamaa alikuwa kapanda si kawaida.