Mkuu, nasikia mwenzetu Mohamed Yahya kahama huko angepeleka ujumbe huu, sina hakika kama pana mfanyakazi mwingine wa kampuni hiyo humu JF.Am sure wamekusikia, punde watarekebisha walikuwa busy kujenga tower yao pale Ilemela naona imekamilika, sasa watarekebisha.
Mkuu, nasikia mwenzetu Mohamed Yahya kahama huko angepeleka ujumbe huu, sina hakika kama pana mfanyakazi mwingine wa kampuni hiyo humu JF.
na dj fredwaaa sijamsikia kabisa
Yuko Times FM na mke wake
Ni kuhusu 'transmitters' za RFA kutofanya kazi pindi mvua ikinyesha. Ni wiki tatu RFA haisikiki Tabora na kusababisha adha kwa wasikilizaji wenu kisa mvua imenyesha, jana ndio imerejea hewani. Hivi vifaa wanapata wapi sasa? Basi waviwekee miavuli au wavifunike na mifuko ya Rambo ili isilowe.
Kumbe Yahya Mohamed alishahama? Yupo wapi siku hizi?
Poleni sana.Ni kuhusu 'transmitters' za RFA kutofanya kazi pindi mvua ikinyesha. Ni wiki tatu RFA haisikiki Tabora na kusababisha adha kwa wasikilizaji wenu kisa mvua imenyesha, jana ndio imerejea hewani. Hivi vifaa wanapata wapi sasa? Basi waviwekee miavuli au wavifunike na mifuko ya Rambo ili isilowe.