sagula sagula wadada

Hehehe mzee una uhakika huta wa charge? Maana wanaogopaga sana wanajua utaibuka tu one day kudai malipo
 
sorry SI sikua nakuja huku...
 
vyote vibaya haviendani na hadhi zetu
 
mbona zote izo brauze zina ch....p kwan vp?
 
Mkuu Ivuga, na Viwalo vyote hivyo bado tupo wote hapa saiv???

Ah tafadhali bwana kiongozi lol...
Unataka kusema vimekudodea au ndio kwaresma???
 
Saint, offer bado valid? mimi ningependelea hizo ballerina nyekundu, perfect kwa miguu yangu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…