kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Mwenyekiti..Freeman Mbowe
Makamu bara.Prof.Abdala Safari
Makamu zanzibar.Issa Mohamed
Katibu mkuu.Dr W.Slaa
Naibu katibu mkuu...........
Mbowe amejitafutia mgombea dhaifu akamchukulia fomu na kumpigia kampeni dhaifu
Ni nani alikwambia kuna safu mpya?
Nakubaliana na wewe Mkuu. Ni Mvinyo wa Zamani ndani ya Glass mpyaHakuna safu mpya ni wale wale
Sasa ulitaka wachaguliwe interahamwe?Hakuna safu mpya ni wale wale
hapa hakuna safu mpya nasubiri kwenye uteuzi nione wachaga wangapi? watateuliwa?Mods nyuzi zingine hazina kichwa wala miguu
Majuha mengi yapo chadema wengi hawajitambui.
Ukiwaangalia hao makamu wenyeviti kusema kweli ni watu ambao hawana umaarufu wowote ndani ya chama na kwenye jamii.
Wala hawana msaada wowote wa kuisaidia chadema hilo hata wanachadema wanalijua sema wameamua kuwatumia kwasababu wanajua jinsi watakavyokua wanawadhibiti.
Ukisikia chama kupoteza muelekeo ndo huko. Chadema na umaarufu wake na kilipokua kimefikia hakikustahili kuendeshwa na sampuli za watu kawa wale. Mnawaacha watu kama akina Baregu ambao wanakubarika na jamii inawafahamu sana mnaenda kumg'ang'ana na wao watu sijui mmewaokota wapi!!!
Lakini ili mwenyekiti aendelee kula na kujimilikisha chama lazma afanye hivyo kwa kuweka misukule kwan watu kama akina BAREGU huwezi kuwapelekesha kwenye maamuzi, lazma utaulizwa bila woga.
Kwa mwendo huo chadema naiona polepooooole inaanza kuchungulia kuzimu baada ya kifo.
MATOKEO RASMI
Uchaguzi mkuu umefanyika kwa amani kabisa na yafuatayo ndiyo matokeo rasmi:
Makamu Mwenyekiti zanzibar
Said Issa Mohamed 645
Hamad Mussa Yusuph 163
Makamu Mwenyekiti Bara
Professor Abdallah safari
Kura za Ndiyo 775
Kura za Hapana 34
Zilizoharibika 2
Mwenyekiti Taifa
Freeman Aikael Mbowe 789
Gambaranyera Mong'ateko 20
Zilizoharibika 2
Mods nyuzi zingine hazina kichwa wala miguu
MATOKEO RASMI
Professor Abdallah safari
Kura za Ndiyo 775
Kura za Hapana 34
Zilizoharibika 2
Mwenyekiti Taifa
Freeman Aikael Mbowe 789
Gambaranyera Mong'ateko 20
Zilizoharibika 2
Nakubaliana na wewe Mkuu. Ni Mvinyo wa Zamani ndani ya Glass mpya