Uhuru wa maoni ni haki ya kila mtu lakini kwa mwingine unapoyachambua ndipo utagungundua zipi pumba na upi mchele/unga. Kwa hapa ndugu yetu kapotea lakini si vibaya tukamwelimisha. Hivi,bora viongozi(MAGAMBA) na viongozi bora(CHADEMA) ni wepi wanaohitajika na taifa letu? Chadema imekamilika na inazidi kukamilika, iko tayari na inaweza.Japo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.
kwani ni lazima kila mmoja aanzishe thread!!!?
Mkuu, kwani yule dada Ex Girlfriend wa a loser Dr Slaa, Rose Kamili, ni mwanamke makini sana tumeona michango yake bungeni nadhani nafasi ya Waziri wa fedha ndio saizi yake!hakuna hata mmoja mwenye sifa ya mkuu wa wilaya, halafu waende kupewa nchi. Hawa waachiwe ubunge tu ili Tanzania ionekane kuna demokrasia. Na sugu aka mr2 aka 2 proud watampa wizara gani?
km hauoni maendeleo yaliyofanywa bas haitoshi we kuitwa kipofu ila utakuwa hauna akili timamuIla magamba ndio wana sifa ya kuongoza nchi!!!! Na maendeleo yepi tuliyoyapata baada ya magamba kuwa madarakani miaka 50!? zaidi ya ufisadi wa mabilioni kuanzia Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete
Japo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.
Usimasahau Mchumba wa Dk Slaa, atakuwa naile nafasi ya Sophia SimbaWaziri Mkuu, atakuwa ni Dr Azaveli Lwaitama, spika atakuwa ni John Mrema.
Usimasahau Mchumba wa Dk Slaa, atakuwa naile nafasi ya Sophia Simba
Mbona una akili finyu za kufikiria kichwani mwako??mtu mzima huwezi kuuliza maswali kama haya,Sio lazima serikali nzima iwe na viongozi wa CHADEMA tu kuna Viongozi wengine wa CCM wanafanya kazi vizuri sana na hawaipendi kabisa CCM hao hao watachukulia na kuweka kwenye vitengo mbali mbali.......na kama kubadilisha huyu aweke pale na pale awekwe huku......sehemu zote maalum wanawekwa viongozi wa maana.....Basi panga wewe uone kama kuna mtu anaefaa kuwa kiongozi wa nchi hii toka chadema.
ama kwa hakika jf ni kama mafuriko ya elnino , yanasomba hata nepi za watoto !Japo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.
You reflect the big fraction that reflects the problem with most people.Always going for the reigning thing.ahh...nimepita tu!
ben saanane makamu wa rais.,
hapo ndio akili zako fupi zilipoishiaJapo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.
Kumbe waumizwa nae, ho kweli uteja janga la dunia