Safu ya uongozi CHADEMA haipangiki

Safu ya uongozi CHADEMA haipangiki

Japo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.


Wewe shetani mkubwa,wakati nchi tunafikiria haja ya kupunguza mzigo wa serikali yenye mawaziri sitini wa ccm wewe unashadidia?
Wakati chadema tukijipanga kupunguza serikali,ili kutumia kilichokidogo wewe unawaza viongozi kugawana madaraka?
Kwa akili hizohizo za kushikiwa ndio maana ccm imekataa rasimu ya katiba,iliyopunguza wabunge wa bunge la muungano kutoka 356 hadi 75 tu,iliyoondoa maDc na Rc wewe ccm inawarudisha kwa lengo lilelile kugawana vyeo ambavyo makada wa ccm huzunguka nchi nzima wakihonga ili kuzikwaa nyadhifa hizo kwa faida ya wachache,
Bado unafikiria hayo?, chadema hatina shida na hilo kaka akii zakuambiwa( lumumba), changanya na zako!!
 
Uhuru wa maoni ni haki ya kila mtu lakini kwa mwingine unapoyachambua ndipo utagungundua zipi pumba na upi mchele/unga. Kwa hapa ndugu yetu kapotea lakini si vibaya tukamwelimisha. Hivi,bora viongozi(MAGAMBA) na viongozi bora(CHADEMA) ni wepi wanaohitajika na taifa letu? Chadema imekamilika na inazidi kukamilika, iko tayari na inaweza.

mkuu usijichoshe bure kwa sababu report ya hvi karibuni inaonyesha Tanzania ipo top 10 kwa kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri ( low IQ ) nikimaanisha ni ya 9 bila shaka huyu mleta mada ndiye aliyekuwa sample hvyo katupelekea watanzania wote tunaonekana mambumbu wakati sio
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha haa iliandikwa 2011

mtoa maada uliwaza kweli Lema awe RAIS??
 
Sijui kwa nini mods wapenda kuacha thread za ovyo hapa jukwaani wakati ukitoa hoja zenye mashiko thread haichelewi kubadilishwa title au kuunganishwa na nyingine.....?

Wapinzani wa wapinzani hapa jukwaani mara nyingi hawana hoja zaidi ya kuthibitisha ufinyu wao wa mawazo!
 
Japo mimi sipo CDM, mleta mada anagurshisha keeli. Msigwa, nyerere,mbilinyi.......wengine umewasaumewasahau wapi. Jina lako nasikia litakuwepo kwenye list.
 
Back
Top Bottom