Safu mpya ya uongozi CHAUMMA

Safu mpya ya uongozi CHAUMMA

Yaani chadema sijui wapoje, akili zao zote ni lissu, ndiyo safi, lissu, ndiye mwema, lissu ndiye Mkombozi, lissu kumbe mpiga dili tu kwa wazungu!
Sio Chadema tu,baadhi ya waafrika wana shida ya kuabudu watu na kuona hawakosei chochote haswa wakiwapenda,si unaona hata mother anavyoabudiwa.Kuna upuuzi wa ajabu sana na unatia kichefuchefu
 
Safu Mpya Viongozi Wakuu wa CHAUMMA:-

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza safu mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu kwa kile walichoeleza ni kuleta mabadiliko ya kweli nchini:

🔹 Salum Mwalimu – Katibu Mkuu CHAUMMA
🔹 Devotha Minja – Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara
🔹 Benson Kigaila – Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara
🔹 Mohammed Masoud Rashid – Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

#Enendeni mkavipigane vita!

#ALUTA CONTINUA! View attachment 3339156
Na yule mlinzi kawa nani? Je waligombea au wameteuliwa? Akidi vipi? Kwahiyo hawa issue yao ilikua madaraka?🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom