Safisha safisha ndani ya UVCCM

Safisha safisha ndani ya UVCCM

Sunbae

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
254
Reaction score
176
Baada ya UVCCM Taifa kukamilisha sakata la uuzwaji kinyemela kiwanja cha Iringa sasa imetupia macho yake Mkoa wa Mwanza wilaya ya Ilemela. Mwenyekiti UVCCM wilaya ya Ilemela ndg Kheri James atuhumiwa kuuza kiwanja no. 146 block A mali ya UVCCM kilichopo eneo la Pasiansi Mkoani Mwanza kwa kanisa la FPCT kwa thamani ya milioni sitini (Tshs. 60,000,000) mwaka jana. Uongozi wa UVCCM Taifa umemtaka kijana huyo aliyeanza ufisadi akiwa mdogo kurudisha mali UVCCM mara moja na hatua za kisheria na kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
 
Tangu lini ulimuona simba ana mzaa kondoo?
 
Huyo anacheza na hii serikali.
 
Kumbe mwenyekiti anaweza kuuza kiwanja hapa namkumbuka Nape na sakata la makao makuu ya uvccm.Haya mambo yalianza kitambo dah
 
Mkuu haya mambo kumbe yalianza kitambo namna hiyo.
 
Kumbe kiwanja cha Ccm!!
Sibora hata hao wana viwanja
Cdm hata Shamba unaloweza kulimia mchicha tu
Hawana
 
CCM kama chama ni corrupt,......wameiba viwanja na maeneo ya wazi yaliyokuwa mali ya umma kabla ya vyama vingi kuanza
 
Back
Top Bottom