Safiri na Rwandair dar kgl dubai dar direct-545 usd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safiri na Rwandair dar kgl dubai dar direct-545 usd

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Hii ni good news
  ndugu zanguni nimepokea hii msg ni vyema niwashirikishe wenzangu

  ""kampuni ya ndege ya rwandair inapenda kuwatangazia kuanzia tar 21 mwezi huu
  unaweza kwenda darkgldxbdar direct kwa doller 540 tu ama 540 usd;uzito @kg 45 per pax
  watanzania hii nafasi nyingine nzuri kwetu kuweza kusafiri na rwandair ,karibu kwa mawasiliano zaidi
  piga 0222122402""

  ""fly our dream to the heart of africa""

   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Jumatatu na jumatano,,,kuanzia tar 21 kutakuwa mara tatu jumatatu jumatano na jumapili
   
 3. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nimeng'amua.kumbe ndio maana mara nyingi unaandika habari mbaya kuhusu Precision Air.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Pole sana nenda ukasome za 540/atcl/jetlink nasifia panaposifika narekebisha panaporekebishika
  karibu tena
   
 5. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama TSH:1,000,000./=Tusichange bana twende zetu kwa Kagame ....Olakoze chane.
   
Loading...