Mbunge silinde alikuwa akichangia bajeti ikafika mahali akasema bado bajeti haijaleta mchango ktk ukuwaji wa uchumi hasa katika swala la kilimo,akasema rwanda waliotoka kwenye vita uchumi wao unakua kwa kasi,sasa mh hamisi akamkatisha na kuanza kukanusha hayo(kupitia taarifa)kwa bahati mbaya mwenyekiti wa bunge akamkatisha dr hamisi kwa sababu alikuwa anatumia muda mrefu kutoa taarifa yake.Mh shilinde alipopewa nafasi mara ya pili ndipo alipomnyoosha dr hamisi,akamwambia wananchi wa nzega wanalalamikia mfuko wa mbolea na pembejeo halafu yeye(hamisi) anatetea uzembe.Kwa ufupi hii ndio scenario iliyomuumbua dr hamisi.Ukitaka exatly what happened kaombe clip TBC au tafuta hansard za bunge!