Safarini Njombe to Dar

Safari za USIKU ni tamu sana sababu ya utulivu, hakuna msongamano wa Magari
Yeah mkuu,pia hmna uchovu cz hali ya hewa imetulia nayo,barabara nyeupe ni uwezo wako tu wa kunyoosha goti
 
Kipande kilichonipa credit leo toka doma mpk msamvu round about nimetumia 45mnx hataree sans hehehee
 
mkuu nilishafika mda sana toka saa moja nilikuchek angalia post# 23
 

Wewe ni mwenyeji haswa njia ya Moro Dodoma!Umempa tahadhari nzuri
 
Ooh Ile D4D Nyeupe!!Halafu bili hii hapa Giraffe nani anailipia?au Ulilipa ya Tale na Sangamela?
hahahahaaa.. mkuu mitaa ya chaugingi iyo.. sangamela na girafe Innao nesha ndo mitaa yko hyo hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…