Safarini Njombe to Dar

Safarini Njombe to Dar

hosh kosh

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
748
Reaction score
572
Habari za mida mibovu, mida ya kupumzisha miili yetu kutokana na pilika mbali mbali za mchana kutwa.

Wakuu mida hii naandika huu uzi nipo Makambako naelekea Dar au Tanzania nataka nitoboe mpaka pakuche niwe town naishia Mbezi.

Wazee wa kuua paka(drivers) karibu tupeane uzoefu wa kutembea usiku, maswahibu na raha za kutembea usiku.
 
Safari njema...
Kuendesha usiku!
Kwanza hakikisha hauna usingizi. Kama una usingizi, paki gari pembeni ulale kama nusu saa. Tafuta kinywaji cha Azam/ Mo energy ujiboost kuondoa usingizi na uchovu.
Kwenye kuendesha gari, hakikisha hautembei spidi kubwa sana. Nenda themanini mwisho mia. Kwa sie wazoefu mimi huwa natembea hadi mia Dar-Moro, Mia hadi mia na kumi Moro hadi Dodoma na from there huwa natembea hadi mia thelasini usiku. Hii ni kutokana Dar Moro kuna magari mengi ya ku over take. Moro hadi Dodoma kwa kuwa lami ni mbaya na from there bara bara imetulia hivyo huwa napepea inangawa sometime Dom to Singida huwa kuna upepo mkali unaoyumbisha gari.
Unapopishana na gari likakupiga taaa full ukawa huoni mbele na wewe washa full alafu angalia mistari. Yani usiangalie mbele kwa kuwa huwezi kuona. Wewe angalia mstari wa kushoto ambao ni wa njano na wa kulia ambao ni mweupe. Hakikisha unacheza ndani ya chaki.
Pia kama ulikuwa umeshikilia usukani kabla ya kupishana, usikate kushoto wala kulia hadi upishane na gari lililokupiga taa full maana ukikata kushoto au kulia unaweza toka nje ya chaki na kuanguka au kulivaa gari unalopishana nalo. Mara nyingi bara bara za high way hazina kona za ghafla kwa hiyo kunyosha usukani kwa sekunde mbili tatu hakuwezi kuwa na madhara makubwa kwako...
Cha mwisho kuwa makini na matuta. Bara bara zetu zina matuta mengi kama shamba la viazi...
 
Habar za mida mibovu,mida ya kupumzisha miili ytu kutokana na pilika mbal mbal za mchana kutwa,

Wakuu mida hii naandika huu uzi nipo makambako naelekea dar au tanzania nataka nitoboe mpk pakuche niwe town naishia mbez, .wazee wq kuua paka(drivers) karibu tupeane uzoefu wa kutembea usiku,maswahibu na raha za kutembea usiku..
Kamanda unapenda kutembea usiku wewe vipi upo peke yako au
 
Mwenzio huyu nae njombe - dar usiku usiku hakufika hata.

images
 
Aise nipo mafinga apa nipitie nikupe kampani coz namimi naenda Kudaslam,,
 
Safari njema...
Kuendesha usiku!
Kwanza hakikisha hauna usingizi. Kama una usingizi, paki gari pembeni ulale kama nusu saa. Tafuta kinywaji cha Azam/ Mo energy ujiboost kuondoa usingizi na uchovu.
Kwenye kuendesha gari, hakikisha hautembei spidi kubwa sana. Nenda themanini mwisho mia. Kwa sie wazoefu mimi huwa natembea hadi mia Dar-Moro, Mia hadi mia na kumi Moro hadi Dodoma na from there huwa natembea hadi mia thelasini usiku. Hii ni kutokana Dar Moro kuna magari mengi ya ku over take. Moro hadi Dodoma kwa kuwa lami ni mbaya na from there bara bara imetulia hivyo huwa napepea inangawa sometime Dom to Singida huwa kuna upepo mkali unaoyumbisha gari.
Unapopishana na gari likakupiga taaa full ukawa huoni mbele na wewe washa full alafu angalia mistari. Yani usiangalie mbele kwa kuwa huwezi kuona. Wewe angalia mstari wa kushoto ambao ni wa njano na wa kulia ambao ni mweupe. Hakikisha unacheza ndani ya chaki.
Pia kama ulikuwa umeshikilia usukani kabla ya kupishana, usikate kushoto wala kulia hadi upishane na gari lililokupiga taa full maana ukikata kushoto au kulia unaweza toka nje ya chaki na kuanguka au kulivaa gari unalopishana nalo. Mara nyingi bara bara za high way hazina kona za ghafla kwa hiyo kunyosha usukani kwa sekunde mbili tatu hakuwezi kuwa na madhara makubwa kwako...
Shukran suku tuko pamoja ..kwa hilo usiwaze uko na king mwenyewe wakuua paka usiogope 12 tukutane dar
 
Kudos mkuu
umeiva kusafiri usiku hadi umeiviliana hongera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom