Safarini muda huu

Safarini muda huu

Ubarikiwe mkuu,ni muhimu sn kuuzingatia ujumbe,kwani "Aliyejua kuwa kuna dhambi halafu hakuwaambia wenzake atahukumiwa"

Mimi na family yangu tumeshafanya maamuzi mkuu kabla hata ya kampeni kuanza

Hapana_KATIBA ya chenge
Delete ccm kuanzia,DIWANI,MBUNGE,RAIS

Maswali?
 
Mimi na family yangu tumeshafanya maamuzi mkuu kabla hata ya kampeni kuanza

Hapana_KATIBA ya chenge
Delete ccm kuanzia,DIWANI,MBUNGE,RAIS

Maswali?

Asante sana,najua unawaambia na wenzako na wengine wenye kushupaza shingo.Good go on mkuu,tujidhatiti sn si kazi rahisi.
 
Nimetoka babati nikaenda karatu nimerudi arusha, japo kuna mgomo njiani hakuna mabasi na Noah hakuna, ila kuko salama kabisa, hakuna fujo mkuu, safe journey
 
Nimetoka babati nikaenda karatu nimerudi arusha, japo kuna mgomo njiani hakuna mabasi na Noah hakuna, ila kuko salama kabisa, hakuna fujo mkuu, safe journey

Me ndo nafika mkuu muda huu mkuu.Asante kwa taarifa.

Hee jamani nimemwona dada yake MASAI DADA!!!! Wamefanana haoo!
 
Wakuu,Nipo safarini Tabora to Arusha na ile gari inayopatikana katika orodha ya magari yanayoenda kasi sana kwa sasa, Coast line. Kwakweli ni tatizo hii gari ila sina namna, hata Pinda alisema hakuna namna ni kupigwa tu.Kwa sasa tunaitafuta Singida, tungekuwa tumepita but traffic walizuia gari sehemu kwa muda mrefu. Hofu yangu ni huko mbele kutokana na hali halisi ya mgomo. Nimepata taarifa ya mabasi ya Shaby yalivofanywa huko Mbezi Dar.Barabara ni nyeupe hakuna mabasi tunayokutana nayo siku zote.Arushaone,masai dada na WanaJF wa Arusha nahamia kwenu plz."Sema Hapana Kwa CCM Hapo October, 2015. Mwambie na mwenzako".
Ufike salama
 
Wakuu,

Nipo safarini Tabora to Arusha na ile gari inayopatikana katika orodha ya magari yanayoenda kasi sana kwa sasa, Coast line. Kwakweli ni tatizo hii gari ila sina namna, hata Pinda alisema hakuna namna ni kupigwa tu.

Kwa sasa tunaitafuta Singida, tungekuwa tumepita but traffic walizuia gari sehemu kwa muda mrefu. Hofu yangu ni huko mbele kutokana na hali halisi ya mgomo. Nimepata taarifa ya mabasi ya Shaby yalivofanywa huko Mbezi Dar.

Barabara ni nyeupe hakuna mabasi tunayokutana nayo siku zote.
Arushaone,masai dada na WanaJF wa Arusha nahamia kwenu plz.

"Sema Hapana Kwa CCM Hapo October, 2015. Mwambie na mwenzako".

Usisahau kunitembelea niko Arusha kwa leo
 
Ningekuwa mimi ningewatangazia abiria kuwa mimi ni bread winner wa familia yangu, halafu ningeshuka kwenye kituo na kwenda kuripoti kituo cha polisi, na baadae kuangalia utaratibu mwingine wa kuendelea na safari yangu.
 
Mwanamayu acha tu yani,nimefika tena saa kumi ni balaa.
 
Back
Top Bottom