tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,751
- 31,078
Wakuu,
Nipo safarini Tabora to Arusha na ile gari inayopatikana katika orodha ya magari yanayoenda kasi sana kwa sasa, Coast line. Kwakweli ni tatizo hii gari ila sina namna, hata Pinda alisema hakuna namna ni kupigwa tu.
Kwa sasa tunaitafuta Singida, tungekuwa tumepita but traffic walizuia gari sehemu kwa muda mrefu. Hofu yangu ni huko mbele kutokana na hali halisi ya mgomo. Nimepata taarifa ya mabasi ya Shaby yalivofanywa huko Mbezi Dar.
Barabara ni nyeupe hakuna mabasi tunayokutana nayo siku zote.
Arushaone,masai dada na WanaJF wa Arusha nahamia kwenu plz.
"Sema Hapana Kwa CCM Hapo October, 2015. Mwambie na mwenzako".