Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
Tangazo tangazo.Karibu sana ukifika nipm zipo nyingi mpya na nzuri kwa bei hiyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tangazo tangazo.
fursa inapatikana hapa.
Kwa Dar sehemu jirani na stendi ya ubungo ni Sinza, Sinza kuna hotel kibao good quality ila bajeti weka kuanzia 40,000/=Wana MMU, hasa wa Dar na Dom. Ninasafari ya Dar, Naombeni kujua hotel/lodge nzuri jirani na Stendi ya mabasi ya mikoani. Iwe ya bei ya wastani kama shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa siku. Iwe jirani na chakula kinapopatikana na pia isiwe vichochoroni.
Pia Lodge yenye sifa hizo hizo kwa Dodoma.
Msaada wenu, marafiki
Matola hapana umeshafika JM hotel? Eraldo Natron je? Silver? Mahanju Inn? Nk nk hizi zote zipo Tiptop ni nzuri zina viwango na bei imepoaKwa Dar sehemu jirani na stendi ya ubungo ni Sinza, Sinza kuna hotel kibao good quality ila bajeti weka kuanzia 40,000/=
Sinza kijiweni kuna Golden park na pacha yake iko jirani nimeisahau jina.
Hiyo 20,000/= au 30,000/= waweza ishia nyumba za ngono tu ambazo ni maalum kwa watu kulana mauloda.
Hotel zina raha na status yake, si kila anayelala hotel yupo kwenye malengo ya ngono na ndio maana hazina short time.
Mimi nimekoma kulala kwenye Guest house maana yale mashuka yananukia janaba muda wote tena waweza jitia nuksi tu.
Mkuu samahani kama nitakukwaza mimi naishi uswahilini lakini ukishanitajia tu Manzese au Tandale kwakweli mimi hapana.Matola hapana umeshafika JM hotel? Eraldo Natron je? Silver? Mahanju Inn? Nk nk hizi zote zipo Tiptop ni nzuri zina viwango na bei imepoa
Hahhahahaaaa ngoja tusibishane bure tafuta siku nikuchukue ziaraMkuu samahani kama nitakukwaza mimi naishi uswahilini lakini ukishanitajia tu Manzese au Tandale kwakweli mimi hapana.
Sinza ina ustaarabu wake mkuu, ndio maana hizo hotel ni nzuri lakini haziwezi kuwika kwa sababu ya location zilipojengwa.
Sinza itabaki kuwa Sinza tu.
Mkuu usitumie nguvu nyingi, ni vigumu kuniconvice mimi kuhusu kwenda Manzese, nina miaka zaidi ya 10 mguu wangu haujakanyaga ardhi ya Manzese huwa napita tu hapo nikiwa ndani ya mkweche wangu.Hahhahahaaaa ngoja tusibishane bure tafuta siku nikuchukue ziara
Serious speaking mambo yanapinduka siku hizi huku kunakuwa kule na kule kunakuwa huku
Hizi zote nilizotaja ziko pembeni ya morogoro Rd na zinafikika kwa urahisi sana lakini hebu niambie kule Sinza mfano ukitaka kwenda Namnani
Kwa huduma ya chakula kwa gharama murua utajongea kwa mama kifusi au kwa mama ndumbi wanapatikana karibu na hiyo hotelUkishuka chukua tax hadi mabibo hostel mwambie tax driver akuonyeshe hotel inaitwa "lunch time"
Vyumba kuanzia 30,000 ni mahari safi na tulivu kiasi.
Karibu mjini.
Kumbe ndio maana...Manzese ya 2006 ndio sinza ya leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] trust me fanya ziara ya kushtukiza siku moja hutajutaMkuu usitumie nguvu nyingi, ni vigumu kuniconvice mimi kuhusu kwenda Manzese, nina miaka zaidi ya 10 mguu wangu haujakanyaga ardhi ya Manzese huwa napita tu hapo nikiwa ndani ya mkweche wangu.
Kwanza naichukia zaidi Manzese ya sasa tangu wajenge hizi barabara za mwendo kasi hakuna u turn, barabara siyo rafiki mpaka uende mwendo mrefu ndio upate option ya kurudi nyuma.
Mimi nadhani nimeathiriwa na tabia nchi, nitakwenda kinondoni lakini siyo Manzese, huu ndio ukweli wangu.Kumbe ndio maana...Manzese ya 2006 ndio sinza ya leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] trust me fanya ziara ya kushtukiza siku moja hutajuta
Hahhahahaaaa sikutaka kulisema hili halafu ukichelewa breakfast zaidi ya saa tatu unalipiaNilishalala hapo lunch time baada ya kushawishiwa na ile mitaa taa na majengo huwezi amini nililipia 35000 alafu Maji naletewa na ndoo. Daah pale hapana aise
chips nazo chakula?N:b, ukilala hotel mara nyingi pesa unayolipa ni for bed and breakfast, kwa sababu hizi hotel ndogo breakfast yao siyo ile ya bufee kama hotel kubwa restaurants ziko wazi muda wote na kama ni kubwa unaweza kula nje ya hotel visehemu vya msosi kwa Sinza ni kila baada ya hatua kumi tu.
Karibu sana Dar, tena Sinza ya leo utaifurahia utulivu ni wakutosha kabisa baba Magufuli amenyoosha watu sasa hakuna mbwembwe mahotelini.
Tatizo la maji limekwisha?Ukishuka chukua tax hadi mabibo hostel mwambie tax driver akuonyeshe hotel inaitwa "lunch time"
Vyumba kuanzia 30,000 ni mahari safi na tulivu kiasi.
Karibu mjini.