Safarini Arusha

Sa mbona hamnambii viwanja vya kukutana jamani
 
Kwa wale wana JF wa Arusha natarajia kuwa huko Kesho jioni na kesho kutwa........i wish ningemuona japo mwana JF mmoja

ukifika Arusha nisalimie sana mwenyekiti wao PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:
Wanakukacha sio,ndo zao hao!
Karibu bukoba.

Weeee......tutake radhi.......
Mgeni mwaya karibu.......mimi nimetoka kidogo nimekuja huku Yaeda nimeleta pembejeo za kilimo.......ila kuna makamanda wapo imara.....subiri watakuwasiliana......
 
siku ya kuondoka msako utafika pale stand kuu kwa wasafiri wote pamoja na kwenye kizuizi cha polisi pale kikatiti. wewe pack tuu vizuri
Hahahahaaa haya wala usijali ntakuletea ikiwa well packed
 
mmhh Preta 😛op2:, uwe unaaga basi na wewe
Weeee......tutake radhi.......
Mgeni mwaya karibu.......mimi nimetoka kidogo nimekuja huku Yaeda nimeleta pembejeo za kilimo.......ila kuna makamanda wapo imara.....subiri watakuwasiliana......
 
.....sitaki kitunguu bana Preta. Yaenda chini vitunguu sio msimu wako kwa sasa na pia sio vizuri sana. kwanini usiletee yale matunda ya rangi ya kijani banaaa
Nitakuletea vitunguu.......
 
Tajiri gani anakaa kwa Msola!? We sema unaishi Mirongoine! Mata.koni mwa mji!

kakwambia nani mi nakaa mavumbini kwa msola?mtt kitu cha PPF lione,unadhani mm wewe?kwanza wewe utakua unakaa kambi ya fisi tu lazima coz muonekano wako ni wa huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…