Safari za air tanzania zipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari za air tanzania zipo?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by JATELO1, Aug 22, 2012.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  WANA-JF;
  Napenda kuuliza kama upo usafiri wa ndege wa Air Tanzania kati ya Mwanza na Dar es Salaam. Naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa za sasa kama usafiri huo unapatikana. Nimeangalia kwenye homepage yao na inaonyesha kwamba wana safari, lkn ningependa kufahamu kwa uhalisia kama huo usafiri upo kwasasa. Kwa wale watakaokwazika kwa swali langu naomba mnisamehe, kwani kuna jamaa zangu wanahitaji kusafiri next week kati ya Mwanza na Dar.
   
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu air tanzania haziaminiki hata kidogo mara utasikia kio kimepasuka mara rubani hajafika airport si ajabu ikaisha mafuta ikiwa angani nakushauri bora upande basi
   
Loading...