Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Good_wanaume ndio sisi,wengine ni mafisi tu....nilifikiri ataahirisha safari kwa kuleta maugonvi,.....mpe big up sana jamaa yako...real men should act like that.Wadau JF.
Tunaitaji msaada kuokoa ndoa ya jamaa yangu.
Zimepita wiki tatu toka kisa hiki kitokee, jamaa yangu alipanga safari yake ya kibiashara kwenda Japan..
Wakati yupo nyumbani akijiandaa na safari huku wakiongea na mke wake.
Muda ulivyofika kuanza safari ya airport alikuwa anaondoka na Air Qatar mchana, akamuomba mke wake simu ili ampigie dereva wa tax aje kumchukuwa.
Simu yake ilikuwa imeishiwa pesa, wakati kachukuwa ile simu ya mke wake ili apige sms ikaingia, akaona ngoja haisome kwanza..
Maneno aliosoma yameandikwa hivi "Dear vp huyo bwegge kaishaondoka? Nimekumiss sana leo takuja kulala"..
Jamaa yangu alivyomaliza kusoma akampa ile simu mke wake akamwambia soma sms yako..
Jamaa akabeba begi lake na kuondoka kuelekea airport aliporudi kutoka safari hakumkuta mke wake nyumbani..
Alipompigia simu akamwambia yupo nyumbani kwa dada yake mume wake ndipo alipokimbilia baada ya kisa kile..
Ushauri wakuu jamaa yangu anaomba!
Good_wanaume ndio sisi,wengine ni mafisi tu....nilifikiri ataahirisha safari kwa kuleta maugonvi,.....mpe big up sana jamaa yako...real men should act like that.
Sasa anataka ushauri wa nini hapo? kama mkemwenyewe kaenda kwao hakumfukuza sasaakili kichwani mwake, kama bado anampenda aendelea nae wala asitake ushauri yeye ndio mwenye mali akiitoa sadaka yake akiifanyia biashara yake mwenyewe.
ndoa hizi,
amuite mkewe ajieleze kwa nini amecheat, mkewe akiri kutorudia tena(kama yupo tayari) kucheat, kuvunja uhusiano na huyo mwanaume wa pembeni na akiridhika na maelezo ya mkewe na kama ataomba msamaha amsamehe (kumbuka makosa mangapi wanaume mnayotena wake zenu wanasamehe?) amrudie mkewe.
Kwani mwanamke akikusaliti shauri lake nini?,.....hapa kila mtu ana lake_ila kwa wanaume wa aina yangu najua nikuachana na huyo mwanamke milele.Sasa mkuu, unashauri nini kifanyike?
mmmmmmmh.......kweli nimeamini watu(wanaume) wengine wana mioyo na roho nzuri kuliko hata malaika.ndoa hizi,
amuite mkewe ajieleze kwa nini amecheat, mkewe akiri kutorudia tena(kama yupo tayari) kucheat, kuvunja uhusiano na huyo mwanaume wa pembeni na akiridhika na maelezo ya mkewe na kama ataomba msamaha amsamehe (kumbuka makosa mangapi wanaume mnayotena wake zenu wanasamehe?) amrudie mkewe.
Hakuna cha kushauri kwenye huu mtanange
Mke ameshachukua uamuzi
OTIS
Sasa ushauri gani anataka???
Ni either aende akamsombe mkewe huko kwa dadake amrudishe nyumbani au amfungashie virago vyake ampelekee.
Na hayo maamuzi hamna anaetakiwa kuyafanya zaidi yake yeye mwenyewe maana kama ni kuishi kama ***** ataishi yeye na kama ni kumkosa mkewe atamkosa yeye....aangalie kama uwezekano wa kumsamehe na kuendelea nae upo akaongee nae na kama anaona hawezi kuendelea nae amjulishe!!