Safari yataka kuvunja ndoa msaada

Kwani mwanamke akikusaliti shauri lake nini?,.....hapa kila mtu ana lake_ila kwa wanaume wa aina yangu najua nikuachana na huyo mwanamke milele.

then kwa dunia ya sasa na kushauri usiishe na mwanamke yoyote coz i can see utaaacha wote
 
Hapa jamaa aendelee na maisha; si yeye akabembeleze; mke amfuate aombe msamaha yeye mwenyewe; na huko kwa dada mtu aondoke kwani huyo ndo aliyemtuma?
 
Aandike upya formula ya mahusiano na mkewe. Watu wenyewe ndio sisi na hayo ndo matatizo yetu....tuna namna ya kuyakabili
 
Simple: Mimi ushauri wangu ningempa huo mdada, kwamba siku nyingine awe makini. Kwa huyo kidume kwanza nampongeza kwa kuendelea na safri na mbili amrudishe mke wake asije akawapa watoto maisha mabaya.
 
Aandike upya formula ya mahusiano na mkewe. Watu wenyewe ndio sisi na hayo ndo matatizo yetu....tuna namna ya kuyakabili

Kaka mapenzi hayana formula kila mmoja na kesi zake!

Wanaachana matajiri wana kila kitu, wanaachana masikini wasiokuwa na kitu hakuna bingwa wa mapenzi..

Wewe huna ujanja wa kumzuia mke wako kama hakiamua kutoka nje ya ndoa
 
Amtimulie mbali; hiyo ndoa ishakuwa ndoano, hakuna trust tena unless aache biashara aamue kumchunga mkewe otherwise siku zote akisafiri atakuwa anaimagine kidume kikingine kinasimamia ukucha!

mke huyo cheater hafai.fulusitopu
 
Yap_tuko pamoja mkuu!
 
then kwa dunia ya sasa na kushauri usiishe na mwanamke yoyote coz i can see utaaacha wote
bibi.com_kwa ufupi ninaye,na kwasababu anajua nini napenda na nini ni haramu kwangu.....hadhubutu(labda kama anafanya sijamhisi).......na kama akija jaribu na nikathibitisha hilo_mmmmmh bahati hana...

Nb:mimi sio mnyanyasaji wala mhafidhina wa mfumo dume_dunia na jamii inanijua kuhusu hilo...ila kwa suala ya mke wangu ku-ni cheat...ahahahahahaaaaaaaaaa
 
Kabla ya kutoa ushauri, naomba kuuliza huyu dada alikwenda lini kwa wifi yake? Amemueleza nini wifi yake?
Wanamuda gani pamoja? Ningeshauri akae kimya kama ***** vile mpaka pale dada atakapokuja kujieleza na amuulize ubwege wake ni upi na anataka nini kwake.
 
Kama jamaa anaweza asimfanye chochote ila amfate na kumwambia warudi nyumbani na wakirudi iwe kama hakuna kilichotokea.BONGE LA ADHABU
 
Kabla ya kutoa ushauri, naomba kuuliza huyu dada alikwenda lini kwa wifi yake? Amemueleza nini wifi yake?
Wanamuda gani pamoja? Ningeshauri akae kimya kama ***** vile mpaka pale dada atakapokuja kujieleza na amuulize ubwege wake ni upi na anataka nini kwake.

Alikwenda siku ile mume wake alivyosafiri kwenda Japan
 
Mie kilichoniuma ni jamaa kuitwa *****, yaani inaonekana huyo mama sio mara ya kwanza anatumiwa meseji za namna kwa mume kuitwa ***** na anaridhika, hamthamini kabisa mume wake, kweli ningemuambia dada yangu amtimue na kwangu asikanyage, kucheat nimegundua, ningesamehe, lakini kucheat na anaye acheat kuniita ***** haivumiliki.

Muosha huoshwa.Nyie mbona mnawaita wake zenu majina mabaya kuliko hilo!
 
mnh,inategemea kama bado anampenda mkewe na kama ataweza kumtrust tena?......kama baada ya hiki kitendo,anaona haiwezekani kumpenda na kumuamini mkewe then amuache tu.ndoa ndio ishakufa kibudu hivyo.

mwache akae kwa dada yako,mpaka ashike adabu,wala usijishughulishe kumtafuta,ukimtafuta ndio utajidhihirisha wewe ni ***** kweli,sababu huyo mkeo katumia kama tactic tu ya wewe kumsamehe tena,na sio proof kaacha uma laya wake....
 
As a guy, hata kama niko desperate kiasi gani na hata kama ndoa yangu ina matatizo kiasi gani, mtu yeyote atakayenitukania mke wangu, hana nafasi na mimi. Kwa huyo mwanamke kumu embrace huyu jamaa anayemuita mumewe "*****"...Ouch! Hilo ni kosa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom