Safari yangu ya North Korea ,je ni kweli North Korea nchi mbaya-Drew Binsky

mcomunisti halisi

Senior Member
Jan 17, 2017
103
328
Drew binsky ni blogger na mwandishi wa kujitegemea ambaye ametembea zaidi ya nchi 95 tokea 2012.Binsky amekuwa akiandika makala na kutengeneza video YouTube "online TV"

Hivi karibuni Binsky alitembelea North Korea.Kumekuwa na propaganda nyingi sana kuwa hairuhusiwi kutembelea North Korea na mengine mengi hebu ,

Video ya Bisky akielezea isolated country ya North Korea aliyoitembelea na mengi utayafahamu kupitia video hiyo

Propaganda ya nchi za magharibi tu hutoa taswira hasi ya NK!
NK ni wachapa kazi sana, wana akili sana na kwa kiasi kikubwa wananitegemea wenyewe! Si nchi tajiri lakini si maskini kivile!
Wana satellites za kwao walizounda wenyewe zinazunguka dunia! Kwa kutumia satellites hizo wanaweza kupata taarifa ya kila kinachoendelea duniani bila kutegemea vyombo vya marekani! Wanaunda ndege zao wenyewe! Kwa kiasi kikubwa wanaunda silaha zao wenyewe! Wameweza kutengeneza silaha za nuklia wenyewe! Wana computer system ya kwao! hivyo ni vigumu kuwadukua! Wana internet system ya kwao!
Hayo yote wasingeyaweza kama wangekuwa maskini wa kutupwa kama nchi za magharibi zinavyotaka tuamini!
Shida kubwa ya Korea ya kaskazini ni kukosekana Uhuru wa kuabudu! Hili tatizo si Korea tu hata china hakuna Uhuru wa kuabudu kihivyo!
 
swadakta umeongea fact kiongozi
 
Sikubaliani na mmarekani kwenda North Korea na bado akarudi salama kiasi cha kuandika aliyoyaona huko, Mmarekani yeyote anayekwenda North Korea anahesabika Kama jasusi, na hadi sasa kuna wamarekani watatu wapo jela wameshahukumiwa na taarifa za kiintelijensia zinasema wanateswa ile mbaya.
Huo ni uongo wa mchana kweupe kabisa, ila nakubaliana kuwa North Korea ni kweli inajitegemea Sana Kwa kila kitu ikitengeneza vitu yenyewe na hadi silaha za kijeshi, watalii wote wakienda North Korea huwa hawana Uhuru wa kutembea watakavyo, wote hufikia sehemu moja na hupangiwa ni wapi waende na tena Kwa escort maalumu, na raia wengi hufanyishwa kazi bila malipo, hakuna cha propaganda wala nini, North Korea is a hell in earth.
Kwa hiyo mnataka kusema kuwa utajiri wa South Korea na maendeleo yao ni propaganda za marekani?
Acheni ushabiki wa kishamba.
 
kwa io mkuu ww ndo upo n.korea na una taarifa sahihi..bhas saaaawa
 
Mkuu hao waliokamatwa ni majasusi kweli na mmoja hata officials wa USA walikuwa wana negotiate kuna kipindi

Mkuu watalii wanaenda na wapo free sema raia hairuhusiwi kuwapa raia flash,CDs kama hivyo na wananchi hawaruhusiwi kuchukua electrons hizo

Wanaofanyishwa kazi ni wafungwa,North wamewekewa vikwazo hivyo moja ya njia ya taifa yao kuingiza mapato ni wafungwa kupelekwa kwenye majimbo ya warusi kufanya kazi ngumu na pesa inaingia serikali

Raia wanasoma ,wanafanya kazi na kulipwa usichanganye madesa

South Korea ni matajiri sababu hawajawahi kuwekewa vikwazo ,wanapewa misaada na USA wakati hao North huu ni mwaka wa 27 wamewekewa vikwazo na kila nchi imepigwa marufuku kufanya biashara na North ,kasoro Iran na china tu ndio wanafanya biashara na north kwahiyo hiyo ipo wazi

Propaganda zinazozungumziwa ni kama watu wanavyodai eti style ya kunyoa nywele inayokubaliwa ni moja tu ,ukilala unapigwa na anti craft

Zipo za kweli kama uhuru wa dekokrasia nk ila zingine ni utunzi
 
Mkuu kuna mengi umeeleza ukweli, hebu kasome hapa hell life in North Korea. com ujue mengi
 
December 29, 2016
Never before seen real life footage inside of North Korea (Documentary)
in this documentary you get to see how north korean people really live in one of the rarest documentaries ever recorded by 2 french journalists exclusively given a visa for that purpose

Source: fact Reality
 
Propaganda ya nchi za magharibi tu hutoa taswira hasi ya NK!
NK ni wachapa kazi sana, wana akili sana na kwa kiasi kikubwa wananitegemea wenyewe! Si nchi tajiri lakini si maskini kivile!
Wana satellites za kwao walizounda wenyewe zinazunguka dunia! Kwa kutumia satellites hizo wanaweza kupata taarifa ya kila kinachoendelea duniani bila kutegemea vyombo vya marekani! Wanaunda ndege zao wenyewe! Kwa kiasi kikubwa wanaunda silaha zao wenyewe! Wameweza kutengeneza silaha za nuklia wenyewe! Wana computer system ya kwao! hivyo ni vigumu kuwadukua! Wana internet system ya kwao!
Hayo yote wasingeyaweza kama wangekuwa maskini wa kutupwa kama nchi za magharibi zinavyotaka tuamini!
Shida kubwa ya Korea ya kaskazini ni kukosekana Uhuru wa kuabudu! Hili tatizo si Korea tu hata china hakuna Uhuru wa kuabudu kihivyo!
Mkuu china uhuru wa kuabudu upo,wameweka ngumu kwenye propagation tu.ijumaa tunakwenda masjid kama kawa na trafic anakuwepo kuongoza magari na kupunguza foleni
 
Nchi ina hadi Metro (Underground train) afu kuna watu wanaiweka kundi moja na Tanzania. Pro US wapi na propaganda zenu.
 
Propaganda ya nchi za magharibi tu hutoa taswira hasi ya NK!
NK ni wachapa kazi sana, wana akili sana na kwa kiasi kikubwa wananitegemea wenyewe! Si nchi tajiri lakini si maskini kivile!
Wana satellites za kwao walizounda wenyewe zinazunguka dunia! Kwa kutumia satellites hizo wanaweza kupata taarifa ya kila kinachoendelea duniani bila kutegemea vyombo vya marekani! Wanaunda ndege zao wenyewe! Kwa kiasi kikubwa wanaunda silaha zao wenyewe! Wameweza kutengeneza silaha za nuklia wenyewe! Wana computer system ya kwao! hivyo ni vigumu kuwadukua! Wana internet system ya kwao!
Hayo yote wasingeyaweza kama wangekuwa maskini wa kutupwa kama nchi za magharibi zinavyotaka tuamini!
Shida kubwa ya Korea ya kaskazini ni kukosekana Uhuru wa kuabudu! Hili tatizo si Korea tu hata china hakuna Uhuru wa kuabudu kihivyo!

US kadanganya sana ulimwengu kuhusu hali ya NK,ata hili la makombora anaendelea kudanganya.
 
Sikubaliani na mmarekani kwenda North Korea na bado akarudi salama kiasi cha kuandika aliyoyaona huko, Mmarekani yeyote anayekwenda North Korea anahesabika Kama jasusi, na hadi sasa kuna wamarekani watatu wapo jela wameshahukumiwa na taarifa za kiintelijensia zinasema wanateswa ile mbaya.
Huo ni uongo wa mchana kweupe kabisa, ila nakubaliana kuwa North Korea ni kweli inajitegemea Sana Kwa kila kitu ikitengeneza vitu yenyewe na hadi silaha za kijeshi, watalii wote wakienda North Korea huwa hawana Uhuru wa kutembea watakavyo, wote hufikia sehemu moja na hupangiwa ni wapi waende na tena Kwa escort maalumu, na raia wengi hufanyishwa kazi bila malipo, hakuna cha propaganda wala nini, North Korea is a hell in earth.
Kwa hiyo mnataka kusema kuwa utajiri wa South Korea na maendeleo yao ni propaganda za marekani?
Acheni ushabiki wa kishamba.
Sasa unabishana na mtu aliyefika N Korea.?
Prooaganda za kimagharibi zimeisha kuathiri na hauwezi kufikiria nje ya box.
Mm nimewahi kufundisha na kuishi0 na wazungu na story /perception walizokuwa nazo wakati wanakuja africa ni tofauti na hali walizozokuta uku.
Mathalani mzungu anashangaa kukutana na bango la coke airport yetu.
Au mzungu kwao wamemlipa pesa ya risk ya snake bite kutoka hotelin mpaka kazini kwake au kutoka hotelin mpaka church ile ali alikuwa yuko anafanya kazi city centre.
 
UKO SAHIHI MKUU...NILISHANGAA SANA MZUNGU MMOJA MJERUMANI ANANIULIZA KAMA HUKU AFRICA TUNAVAA VIATU!
 
Kuna mzungu nilikuwa nabishana naye akanipa neno hilo kuhusu Tanzania nikawa mdogo kama priton ,nguvu zote ziliniisha na nikapotezea moja kwa moja
 
UKO SAHIHI MKUU...NILISHANGAA SANA MZUNGU MMOJA MJERUMANI ANANIULIZA KAMA HUKU AFRICA TUNAVAA VIATU!
Kuna watu ukiwambia kuna wazungu wajinga au masikini kabisa hawana aha pakuishi hawawezi kukuelewa.
Wao wanadhani kila kinachosemwa na vyombo vya habari vya ulaya/America ni ukweli tu.
 
Back
Top Bottom