Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,996
Barakao ili ziwe iffective inatakuwa kilacmtu avae.Itasaidia nini sasa picha. Mshaambiwa chukueni tahadhari na sio kulialia kama watoto wakati barakoa ni buku

mkuu Basi sitaitaja hapa jamvini,ngoja nawahifadhi.ni kampuni kubwa tu.konda anadai nimonia Kali ,ndo imepunguza wasafiri.Acha UONGO na POROJO na CHUKI kwa majirani zetu. Kama una shida ungepanda basi lingine na ni basi gani hilo lina abiria 8? Acha kupanda MIKWECHE !
Ni watu wa hovyo sababu tunasujudia wageni kuliko usalama wetuBaadhi ya Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana. Wa hovyo hovyo.
Kenge wewe ndio masikhara gani haya?ulikuwa unamaanisha "karibu na mainroad" ama iriiis, wari riiiisi... 😂 😂 😂 🙌
Kweli lilikuwa limejaa. Sasa ingebidi uve barakoa, pambana na afya yako mwenyewe.baadhi ya picha nilizipga. View attachment 1713749
kweli mkuu.barakoa nimevaa,tena kwa msongamano huu.Kweli lilikuwa limejaa. Sasa ingebidi uve barakoa, pambana na afya yako mwenyewe.
Unataka ukaguliwe barakoa wakati wewe mwenyewe haujavaa wala polisi hajavaa!!Habari za wasaa,Wana jf.
asubuh ya leo nimedamka mapema Sana,tayari kwenda bus terminal kwa safari ya kutoka jiji la mbeya kwenda jiji la Dodoma.
Nilifika attend mapema Sana saa 0600 asubuhi ya leo,Basi nimekuta Lina abiria Kama 8 tu,Basi safari ikaanza saa 1230 asbh,kufika kituo fulani sitakitaja hapa,bus likapiga Kona kuuingia mtaani,lakini katibu na mainload,ee bwana ee tumepack pale mpaka saa 3 ,kumbe jamaa walikuwa wanawasubili abiria wengine lakini hawa abiria ni wamalawi,wameijaza bus nyomi,Hadi hewa nikaanza kuona imekuwa nzito.
Tukaondoka na kuanza safari yetu,dereva hakusinzia akaanza kukanyaga pedo ya accelerater,bus ikakubari ,ndani ya bus kinachosikika ni kimalawi tu,maana wako wengi kuliko sisi abiria wa kibongo.pembeni yangu akaja abiria akaniongelesha,akiwa anataka kunisalimia ,nikatikisa kichwa tu,akagundua mm si mmalawi,ikabidi abadili lugha...how are you friend,nikamuitikia ...am fine ,and u,akajibu fine.
ghafla akaanza kukohoa mara kwa mara.kikohozi Cha huyu mmalawi niliekaa nae siti moja,kikanikumbusha nimonia Kali,inayosumbua mpaka sasa.kumuanngalia hajavaa balakoa,nikawaangalia na wengine hasa hawa wamalawi pia hawana balakoa.
Tukafika kituo fulani baada ya mwendo mrefu ,hapo kulikuwa na gate,askari akaingia akakagua abiria wote,na kuwakagua hawa wamalawi passport zao,akajiridhisha akashuka.bus ikaruhusiwa tukaendelea na safari.
Nikajiuliza inamaana huyu askari mbona hakagui suala la kuvaa barakoa,na humu tuna abiria wamejaa wamalawi tupu humu ndani.
Kiukweli hili bus sijui lilikodiwa na hawa wamalawi,hapo ndo sijui,Ila kinachotia shaka ni ,hii nimonia Kali,na nasikia huko Malawi imechanganya Sana kuliko hata hapa tz.na hawana hata balakoa.
kiukweli kipindi hiki tunaosafiri ,tunasafiri ktk mashaka kibao,hasa bus zinazotoka mipakani.
Hapa nilipo sitaki stori na huyu jilani yangu mmalawi,kuhofia nimonia kali.sio kwamba namtenga Ila Sasa nyomi hii na hawa wamalawi,ndo inanipa shaka.
View attachment 1713750
🙌😂😂😂😂Kenge wewe ndio masikhara gani haya?
Hapo ulipokoleza pamenibamba😁
Tatizo in u malawi au Tatizo ni kutova baraoa au kujaza kwa abiria ndani basi? hata uleweki.....Wa tanzania wengi ni washamba kweli kusafiri na wageni unaona nijambo laajabu sana, neenda ukaona magari ya mbagara jinsi wanavyo jaza abiria na hamna waliovaa barakoaHabari za wasaa wana JF.
Asubuhi ya leo nimedamka mapema sana tayari kwenda bus terminal kwa safari ya kutoka jiji la mbeya kwenda jiji la Dodoma.
Nilifika stend mapema sana saa 0600 asubuhi ya leo, basi nimekuta lina abiria kama 8 tu. Basi safari ikaanza saa 1230 asbh, kufika kituo fulani sitakitaja hapa, bus likapiga Kona kuuingia mtaani lakini katibu na mainroad. Eee bwana ee tumepack pale mpaka saa 3 kumbe jamaa walikuwa wanawasubiri abiria wengine lakini hawa abiria ni Wamalawi wameijaza bus nyomi, hadi hewa nikaanza kuona imekuwa nzito.
Tukaondoka na kuanza safari yetu, dereva hakusinzia akaanza kukanyaga pedo ya accelerater, bus ikakubali, ndani ya bus kinachosikika ni Kimalawi tu maana wako wengi kuliko sisi abiria wa kibongo. Pembeni yangu akaja abiria akaniongelesha akiwa anataka kunisalimia nikatikisa kichwa tu, akagundua mm si Mmalawi ikabidi abadili lugha, how are you friend? Nikamuitikia, am fine and u? Akajibu, fine.
Ghafla akaanza kukohoa mara kwa mara. Kikohozi cha huyu Mmalawi niliekaa nae siti moja, kikanikumbusha nimonia kali inayosumbua mpaka sasa. Kumuangalia hajavaa barakoa, nikawaangalia na wengine hasa hawa wamalawi pia hawana barakoa.
Tukafika kituo fulani baada ya mwendo mrefu, hapo kulikuwa na gate, askari akaingia akakagua abiria wote na kuwakagua hawa Wamalawi passport zao, akajiridhisha akashuka. Bus likaruhusiwa tukaendelea na safari.
Nikajiuliza inamaana huyu askari mbona hakagui suala la kuvaa barakoa, na humu tuna abiria wamejaa wamalawi tupu humu ndani.
Kiukweli hili bus sijui lilikodiwa na hawa wamalawi, hapo ndo sijui, ila kinachotia shaka ni hii nimonia kali na nasikia huko Malawi imechanganya sana kuliko hata hapa tz, na hawana hata barakoa.
kiukweli kipindi hiki tunaosafiri tunasafiri katika mashaka kibao, hasa bus zinazotoka mipakani.
Hapa nilipo sitaki stori na huyu jirani yangu Mmalawi kuhofia nimonia kali. Sio kwamba namtenga Ila sasa nyomi hii na hawa wamalawi, ndo inanipa shaka.
Baadhi ya picha nilizpiga:
View attachment 1713749
View attachment 1713752
Nilipanda Trinity hapa Dodoma kwenda Dar, hio Trinity inatokea Kigali Rwanda to DarAcha uongo na porojo na chuki kwa majirani zetu. Kama una shida ungepanda basi lingine na ni basi gani hilo lina abiria 8? Acha kupanda mikweche!
Unaweza kuvaa barakoa masaa nane mkuu? Wataalamu wanasrma ukivaa zaidi ya masaa4 utaumwa mapafu.nimevaa mkuu.
Kwahiyo Rais, Mawaziri, Wabunge na mabosi serikalini ambao wanahofia kufukuzwa kazi wakivaa barakoa si wazalendo!Mimi niliandaa mapema kabla aijaanza safari,Tena ya kitenge,nadumisha uzalendo.
Tz hatuna haraka! Umefika kituoni 6, gari haikuondoka mpaka 12.30 na bado mkaenda mtaani na kusubiri mpaka 3?!Habari za wasaa wana JF.
Asubuhi ya leo nimedamka mapema sana tayari kwenda bus terminal kwa safari ya kutoka jiji la mbeya kwenda jiji la Dodoma.
Nilifika stend mapema sana saa 0600 asubuhi ya leo, basi nimekuta lina abiria kama 8 tu. Basi safari ikaanza saa 1230 asbh, kufika kituo fulani sitakitaja hapa, bus likapiga Kona kuuingia mtaani lakini katibu na mainroad. Eee bwana ee tumepack pale mpaka saa 3 kumbe jamaa walikuwa wanawasubiri abiria wengine lakini hawa abiria ni Wamalawi wameijaza bus nyomi, hadi hewa nikaanza kuona imekuwa nzito.
Tukaondoka na kuanza safari yetu, dereva hakusinzia akaanza kukanyaga pedo ya accelerater, bus ikakubali, ndani ya bus kinachosikika ni Kimalawi tu maana wako wengi kuliko sisi abiria wa kibongo. Pembeni yangu akaja abiria akaniongelesha akiwa anataka kunisalimia nikatikisa kichwa tu, akagundua mm si Mmalawi ikabidi abadili lugha, how are you friend? Nikamuitikia, am fine and u? Akajibu, fine.
Ghafla akaanza kukohoa mara kwa mara. Kikohozi cha huyu Mmalawi niliekaa nae siti moja, kikanikumbusha nimonia kali inayosumbua mpaka sasa. Kumuangalia hajavaa barakoa, nikawaangalia na wengine hasa hawa wamalawi pia hawana barakoa.
Tukafika kituo fulani baada ya mwendo mrefu, hapo kulikuwa na gate, askari akaingia akakagua abiria wote na kuwakagua hawa Wamalawi passport zao, akajiridhisha akashuka. Bus likaruhusiwa tukaendelea na safari.
Nikajiuliza inamaana huyu askari mbona hakagui suala la kuvaa barakoa, na humu tuna abiria wamejaa wamalawi tupu humu ndani.
Kiukweli hili bus sijui lilikodiwa na hawa wamalawi, hapo ndo sijui, ila kinachotia shaka ni hii nimonia kali na nasikia huko Malawi imechanganya sana kuliko hata hapa tz, na hawana hata barakoa.
kiukweli kipindi hiki tunaosafiri tunasafiri katika mashaka kibao, hasa bus zinazotoka mipakani.
Hapa nilipo sitaki stori na huyu jirani yangu Mmalawi kuhofia nimonia kali. Sio kwamba namtenga Ila sasa nyomi hii na hawa wamalawi, ndo inanipa shaka.
Baadhi ya picha nilizpiga:
View attachment 1713749
View attachment 1713752
how are you?Habari za wasaa wana JF.