[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuya kale hegu bado?Nata kuona nyemi
Upande gani huo? Maana India nayo kubwa.Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji Kiba like cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), madani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
Cool, nilikuwa nasikiliza BBC World Service wiki iliyopita nikasikia habari mbaya sana kuhusu pollution Mumbai na New Delhi.Mumbai mkuu
Mumbai ni evergreen mwaka mzima, pamoja na bangaroleMvua zinasemaje? maana ndio kipindi chake hiki...
Matunda yao huwa matamu ila Ona wanavyokojoa ovyo na wachafu hakuna mfano! Upo mji upi?Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji Kiba like cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), madani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
Jiji la foleni Bombay! Rupees 5 unapata mutton biliani na ukirudi nunua madawa maana huko bei sawa na bure ila angalia matapeli hasa madereva wa BajajiMumbai mkuu