Tanzanian kid
Member
- Apr 1, 2025
- 98
- 144
π»
Nilianza na simu yangu. Sio laptop.
Wakati nikiwa chuoni, nilikuwa natumia simu yangu kujifunza HTML na CSS kupitia w3schools na tutorials za YouTube.
Nilitengeneza web pages ndogo ndogo kupitia simu, nikijifunza hatua kwa hatua.
Sikuwa na laptop yangu kwa wakati huo, kwa hiyo nilikuwa naazima laptop za marafiki kadri nilivyopata nafasi.
Pia nilitumia nafasi ya kuwa chuoni β kila venue ilikuwa na sehemu ya Ethernet cable, na nilitumia hiyo access ku-load tutorials na kufanya mazoezi kila nilipopata muda.
Haikuwa rahisi, lakini haikuhitaji kuwa perfect. Ilihitaji tu nia, muda, na uthubutu.
π Leo bado najifunza β na bado nasimamia misingi ile ile:
Jifunze na kile ulichonacho. Songa mbele kila siku.
Kama unataka kuingia kwenye tech lakini unahisi huna kila kitu tayari β kumbuka, unaweza kuanza na chochote, hata simu yako.
#TechJourney #CodeWithMe #FrontEndDeveloper #LearningInPublic #HustleMindset #LinkedInTanzania
apo mzee umenena maana usikute wanatufunga kamba hakuna wanachofata zaidi ya kujifunza tutorials basi, bila kufanya chochoteshida ya vijana wengi wa kibongo , hatuoni kazi zenu.. angalau mkitoa story zenu za mambo ya teck muwe mnaweka na link za website mlizotengeneza , au hata github source code link zake for public project... faida yake ni kubwa kuliko stori za juu juu tu
Nia Muda na Uthubutuπ» Nilianza na simu yangu. Sio laptop.
Wakati nikiwa chuoni, nilikuwa natumia simu yangu kujifunza HTML na CSS kupitia w3schools na tutorials za YouTube.
Nilitengeneza web pages ndogo ndogo kupitia simu, nikijifunza hatua kwa hatua.
Sikuwa na laptop yangu kwa wakati huo, kwa hiyo nilikuwa naazima laptop za marafiki kadri nilivyopata nafasi.
Pia nilitumia nafasi ya kuwa chuoni β kila venue ilikuwa na sehemu ya Ethernet cable, na nilitumia hiyo access ku-load tutorials na kufanya mazoezi kila nilipopata muda.
Haikuwa rahisi, lakini haikuhitaji kuwa perfect. Ilihitaji tu nia, muda, na uthubutu.
π Leo bado najifunza β na bado nasimamia misingi ile ile:
Jifunze na kile ulichonacho. Songa mbele kila siku.
Kama unataka kuingia kwenye tech lakini unahisi huna kila kitu tayari β kumbuka, unaweza kuanza na chochote, hata simu yako.
#TechJourney #CodeWithMe #FrontEndDeveloper #LearningInPublic #HustleMindset #LinkedInTanzania
Ni habari nzuri. Binafsi nimetengeneza website hii kwa kutumia WordPress. Pitia nipe ushauri namna ya kuiboresha. ππππ» Nilianza na simu yangu. Sio laptop.
Wakati nikiwa chuoni, nilikuwa natumia simu yangu kujifunza HTML na CSS kupitia w3schools na tutorials za YouTube.
Nilitengeneza web pages ndogo ndogo kupitia simu, nikijifunza hatua kwa hatua.
Sikuwa na laptop yangu kwa wakati huo, kwa hiyo nilikuwa naazima laptop za marafiki kadri nilivyopata nafasi.
Pia nilitumia nafasi ya kuwa chuoni β kila venue ilikuwa na sehemu ya Ethernet cable, na nilitumia hiyo access ku-load tutorials na kufanya mazoezi kila nilipopata muda.
Haikuwa rahisi, lakini haikuhitaji kuwa perfect. Ilihitaji tu nia, muda, na uthubutu.
π Leo bado najifunza β na bado nasimamia misingi ile ile:
Jifunze na kile ulichonacho. Songa mbele kila siku.
Kama unataka kuingia kwenye tech lakini unahisi huna kila kitu tayari β kumbuka, unaweza kuanza na chochote, hata simu yako.
#TechJourney #CodeWithMe #FrontEndDeveloper #LearningInPublic #HustleMindset #LinkedInTanzania
Nimeiona kaka japo naamini nikiiangalia kwenye laptop itavutia zaidi na zaidi ni nzuri sana kakaNi habari nzuri. Binafsi nimetengeneza website hii kwa kutumia WordPress. Pitia nipe ushauri namna ya kuiboresha. πππ
Home β Website For Engineers
Website For Engineers: The ultimate hub for Engineers. Get the technical guides, IS Codes, Career advice, and Admission news to excel in the field.websiteforengineers.com
Hahahahah umesema kweli kaka.apo mzee umenena maana usikute wanatufunga kamba hakuna wanachofata zaidi ya kujifunza tutorials basi, bila kufanya chochote
Naaam umesema vizuri kaka muda su mrefu nitaanza kuweka vitu nilivyofanyashida ya vijana wengi wa kibongo , hatuoni kazi zenu.. angalau mkitoa story zenu za mambo ya teck muwe mnaweka na link za website mlizotengeneza , au hata github source code link zake for public project... faida yake ni kubwa kuliko stori za juu juu tu
Vp kijana umeshaiva kwenye blender?? Nikupe project?Mpaka sasa ntajifunza kutengeneza 3D animation kupitia blender lakini mwenendo wangu sio mbaya sana