ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 236
Safari ilikuwa bomba sana ila muda ulikuwa kiduchu nikaonana face to face na mwana JF mmoja maeneo ya maktaba kuna bustani nzuri saaaana.
Shukran zimwendee huyu mwana jf Mwanyasi akiwa mkanjuni.
Mambo yalikuwa hivi kama mnavyoona katika picha
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
Shukran zimwendee huyu mwana jf Mwanyasi akiwa mkanjuni.
Mambo yalikuwa hivi kama mnavyoona katika picha
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2