Safari ya Songea

Hiyo njia ina Majabari ya hatari hiyo miamba nakwambia Mwanza ikasome. Masasi to Tunduru hadi Songea mwendo wa kupishana na MALORI YA MAKAA YA MAWE KILA KILOMITA Kadhaa mlori huu hapa.
 

Attachments

  • 20220730_101712.jpg
    575.4 KB · Views: 13
  • 20220730_112733.jpg
    585.6 KB · Views: 11
  • 20220730_112809.jpg
    514.3 KB · Views: 10
Umepanda tavavili au baraka classic?

Siku ukipanda ya kigoma utafungua nyuz buku. Watu wa kule siti 1 wanapakatana ukoo mzma, wanavyungu vya ugali. Ukifka nguruka wananua ugali aka lwome na samak wa malagarasi wanaanza kufakamia kama wapo hh. Wanakatiana vichwa vya samak wanapeana.
Wanatafuna huku wanabishana, wanatafuna na kuachama na vyakula mdomon na ugoro na mipombe
Noma.
 
Private jet zipo kwa ajili yenu mkuu
 
Sijui kama ntacheka leo kama hivi dah...🤣🤣🤣

Ngariba1
 
 
Kwasqbabu huku songea maembe yetu ni si matamu kama yq huko,


Kule safarini inategemea binafsi nikisafiri kutoka kwetu chai nitakunywa njombe au makambako, mchana nitakula Iringa.
Nipo town songea,fanya mpango wa dagaa wa nyasa
 
Nimesafiri sana na mabasi ya kaskazini, Iringa, mpaka Mwanza sikuwahi kuona abiria wakila maembe tena kwa kung'ata na meno ndani ya usafiri wa umma.
 
😂😂Umefanya sikuyngu ianze vizuri
 
Hao wamependa tu kula embe za dar ila Songea embe wanazo za kutosha kwenye maeneo yao ya

Litapwasi
Chabruma jeshini
Lilambo.
Kwenye pori la Ruhuwiko .

Na huko sio embe tu ila za aina nyingi tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…