zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 750
- 1,427
Huyu labda kapanda daladalaUmepanda bac la songea au bac la New force mkuu??!
Huyu dada niliekaa nae pamoja na kuwa sista duu nae yuko bize na maembe yake kutafuna na kutema maganda nje ya kioo.
Embe linajambisha? Kwani ni harage hilo au yai?Subiri Sasa vijambo vyake,kila akijamba utamuona anajifanya bize kufungua pochi yake kumbe anaachia kombora hapo.
Kila mtu ashinde mechi zake.Nimepanda basi la songea. Ni New force linalipitia mikoa ya kusini.
Kilicho nishangaza nikuona abiria wenzangu karibia 10 wamenunua maembe pale mbagara na kuanza kuyafakamia.
Huyu dada niliekaa nae pamoja na kuwa sista duu nae yuko bize na maembe yake kutafuna na kutema maganda nje ya kioo.
Nyie wangoni kwani huko songea hakuna maembe?
Halafu hii tabia ya kula vyakula hivyohovyo mbona kama imekaa kishamba sana?
Kama ni njaa, maembe yanatibu njaa? kwann usivumilie mpaka Nangurukuru kwenye restaurant ukapate breakfast.
Nimesafiri sana na mabasi ya kaskazini, iringa, mpaka mwanza sikuwahi kuona abiria wakila maembe tena kwa kung'ata na meno ndani ya usafiri wa umma
Hili nalo mkalitazame.Uzi bila picha ya Dada aking'ata embe ni uongo na majungu
Hapana halijambishi mkuu,Ila Lina add value kwny kijambo.Embe linajambisha? Kwani ni harage hilo au yai?
Ulitakiwa uandike hivi; wewe sema tu huna hela ya kununua hayo maembe!!!Wesema aunaela yakununua ayo maembe