connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,924
Kampuni ya Connections Ltd. inaandaa safari ya kwenda Nairobi mpaka Kampala kwa Singles& Divorced anaetaka kupata mwenza toka Nairobi na kampala. Safari imepangwa kuwa mwishoni mwa mwezi juni tutaondoka 20/06 na kurudi dar 22/06 nauli ni 150,000 Tsh. (kwenda na kurud) na malazi kampuni italipia.
Aah jamani!! Naweza opoa mchepuko wa lami huko?
Utapata twende, tena zile jamaa hazikatagi mikono ya sweta...
mi nitachuz kwa museven
mweeh! Kwani mkono wa sweta huwa mtamu eeh?
Una jotrooo kama pasi ya mkaa
kumbe kitu mwake mwake! Oya mtoa mada untaftie govi moja la nairobi.
Ha ha ha ha akitoa kontakti nishtue nitume nauli sahivi
sie michepuko ya watu je? twaruhusiwa!
Umesema?.....
wewe tena! Lazma upate habari kamili shosti wangu. Kuna kampeni za tohara zinaendelea, magovi yasije yakaisha bure kabla cjafaudu.
Hizo kampeni zinankeraaa hawatushirikishi wanawake kuchukua maoni yetu
wakati sisi ndo watumiaji agggrrr
mi sitaki yatokomezwe bana
ankal shkamoo.
We dawa yako iko jikoni....
Asiye na nia ya kupata mwenza huko hastahili kwenda?