Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 638
- 607
Awali ya yote niipongeze Serikali kwa kutoa usafiri wa bure kwenda Morocco jambo hili litaongeza idadi ya wapenzi, wanachama na mashabiki kwenda kuishangilia timu yetu.
Jambo la kuhudhunisha ni uongozi kuambua kuwalipisha watu nauli ya $1,200 hii nini maana yake? Nani yupo nyuma ya hii biashara? Mtu utaljilipia viza, malazi, chakula na kiingilio bado hata huu msaada wa Serikali mnautolea macho? Nendeni wenyewe na watoto wenu.