Safari ya Rombo kikazi

Safari ya Rombo kikazi

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,273
Imeripotiwa kuwa baadhi ya wanawake wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro, wanalazimika kwenda kukodi wanaume nchini Kenya ili kufanya nao ngono kutokana na waume zao kuendekeza ulevi kiasi kwamba wanashindwa kuwatimizia wake zao mahitaji ya unyumba.
11351446_856784531026056_8756116859292958293_n.jpg
 
Back
Top Bottom