Mkuu kuwa naamani barabara kwa sasa inapitika shwari kabisa, hapo masasi panda basi la Raha Safari au Gulila online Tunduru utaingia sa nne, asubuh then toka mjini hadi Majala ni Lami mzee almost 30 km, hapo utakanyaga vumbi kuanzia mtangashari, ligunga, matemanga, kiuma, Namwinyu, then utakanyaga lami tena hadi Uria, almost 20 km, then utapita kwenye vumbi hadi kilimasera, hapo sasa ni lami tupu hadi songea mjini km 125 safari njema mzee, kuanzia saa 8 utakuwa umefika